Makapuku Forum

Aisee ni kweli.
 
hapana paroko anatumia fursa vizuri, zawadi yako itakuwa coca-cola bariïiiiiiiiiiiiiiiiidi yenye jina lao...........
Umeona eee, th name anataka mikosi tu, mkiwa wazima mwadharau madaktari mkiugua mwafunua makalio wenyewe mdungwe sindano, kadhalika mkivavamiwa na majini mnatusaka usiku wa manane tuwaombee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…