Makapuku Forum

3/Bang Na Expressway
Ndo lilikuwa likishikilia rekodi ya dunia hadi hapo mwaka 2010 lilipoondolewa kwenye orodha kwa sababu tu halikatizi sehemu yoyote majini(Flyover}
Ni flyover ya njia 6 huko nchini Thailand
Lina urefu wa Km 55
.......
 

Ni segment nzuri, inavutia! Najua kwa sasa itakuwa na cases nyingi za majuu, ila unaweza saka stupid Criminals wa hapa kwetu au Africa ukichanganya itakuwa poa zaidi. Presentation, iko vizuri sema I'll tufaidi lazima uangalie muda wa kuitupia, depending on your time etc.

Wazo la kifalsafa, limekaa POA. Vipi ikiwa hiki kipengele kinakuja once a week let's say weekends? Ni juu yako kuamua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…