10/Atchafalaya Basin Bridge
Lipo huko katika jimbo la Louisiana nchini Marekani
Ni mjumuiko wa madaraja yaliyonyooka....Linaziunganisha Baton Rouge na Lafyayette
Lina urefu wa Mita 29,290(km 29)
......
9/Shanghai Maglev Train
Hii ni elevated track inayokimbia kutoka Pudong International Airport hadi Shanghai ambapo abiria huweza kupanda basi
Daraja hili lina urefu wa Km 30
.......