Makapuku Forum

Mkuu sorry ..nimetumwaa

Eti etii lakin .mukongo aka baba mchungaji acha kumsumbua mama mchungaji
Mpelekee salamu mwambie habari ya VUMBI LA CONGO na supu za pweza, kwa sasa si dhani kama lina nafasi kwa malkia mtulivu kama mama Mchungaji. Nimejizatiti kwa Mbegu za maboga, mdalasini wa India, Asali ya nyuki wadogo na vitunguu swahumu vya bongo, sio vile vya south Africa.
 
mkuu unataka kutengeneza bomu la nyuklia?
 
MAN U YAPANDA DAU KWA MPAPPE.



Manchester United wametoa dau la paundi milioni 113 kwa ajili ya kinda matata wa Monaco Kylian Mbappe, kwa mujibu wa The Daily Mail .

Habari zinadai kuwa Manchester City na Real Madrid ni klabu zinazoiwania saini ya mchezaji huyo mahiri wa Ufaransa.
 
MESSI AKUBALI MKATABA MPYA BARCA


Lionel Messi amekubali mkataba mpya Barcelona utakaombakisha Camp Nou hadi mwaka 2021, kwa mujibu wa Cadena SER .

Masharti mapya yanamruhusu kuongeza mwaka mmoja zaidi baada ya mkataba huo na klabu yoyote itakayomtaka italazimika kut €400 million.



 


MAN U YAONGEZA OFA YA MORATA


Manchester United wameongeza ofa yao kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Alvaro Morata hadi paundi milioni 60, kwa mujibu wa

The Guardian .

Mashetani Wekundu walishuhudia ofa yao ya awali ya paundi milioni 52 ikitoswa na miamba hao wa Hispania.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…