Makapuku Forum

Ukishapewa useme kabisa nisije panda daladala na wewe mana itakuwa kazii
 
Watu hawana undugu tena na vitu kama hivi ndiyo vinafanya tushindwe kuwaruhusu wake zetu kwenda kumfariji youngblood maana ghafla watatupia ule music unaosema ''shemeji shemeji huku mwazimaa taaaa''
Kwani ndugu hawatoki out?? Usisahau tuliuza nyumba moja ya urithi....
Hata mimi nimeshaliona hili.
 
Ukishapewa useme kabisa nisije panda daladala na wewe mana itakuwa kazii
Usitie shaka hakuna uwaribifu unaoweza tokea baiana ya kaka na dada labda upenda wa Agape tu....Kuna jamaa yeye alipewa kilikuwa kimzizi anakitafuna akikutana na msichana aliempenda anakitafuna chochote anachokueleza huruki hata kama ulikuwa unaenda church utageuza umfuate aendapo na mkishamaliza tu tendo pendwa ndo fahamu zako zinakurudia ila too late..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…