Makapuku Forum

4/Buibui Achilia mbali tabia yao ya kukaa muda mrefu sehemu moja bila kuhama....
Rabbit Hutch Spider ni aina ya buibui wanaopatikana huko Amerika Kaskazini na baadhi ya nchi za Ulaya
Wana jeuri kukaa bila kula kwa muda wa miezi 18
.......
 
4/Buibui Achilia mbali tabia yao ya kukaa muda mrefu sehemu moja bila kuhama....
Rabbit Hutch Spider ni aina ya buibui wanaopatikana huko Amerika Kaskazini na baadhi ya nchi za Ulaya
Wana jeuri kukaa bila kula kwa muda wa miezi 18
.......
Hawa wanafaa sana wakikaa pale magogoni maana wataendana tabia na mwenye nyumba.
 
Shukrani, nimeona na kuipitia mwanzo hadi page ya sasa hivi.
Nimejifunza kimoja tu, wakati mwanzisha uzi anataka kujua kuhusu hapa, wachangiaji wengi (ukiondoa member wa huku) hawajui wanachangia nini na wanaishia kulalamika kuwa sisi tunalalamika tu.
Mlalamikaji anayelalamikiwa.

Wanaamini 'likes' ni za bwerere tu huku na ukija mgeni unapewa mke (sic) mimi niko hapa hata mchumba tu sijapata na ni leo tu nimekataliwa kwa tangazo kama la msikitini.

Ninajisikia vizuri kuwa hapa.

SN (serious note na sio sexual and nudity) huku wapo waungwana , wasomi (msomi ni nani? Siku nyingine tena) ambako tunaamini hakuna hoja ya kijinga, tunajifunza mengi na si kujua mengi.

Hatuhitaji kujitetea kwa awaye yeyote, hatuna sababu ya kufanya hivyo. JF ni kubwa sana na Makapuku forum ni sehemu ya JF.
 
 
Bhinamu hizo alili umeazima wapiii..

Umenena vyemaa ...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…