Makapuku Forum

naskia tetesi kuwa uzi huu utafungwa hivi karibuni!!..hebu mnijuze kipi kimefanya mods kufikia uamuzi huo..naweza nikapinga uzi usifungwe kwa manufaa ya members wa humu!!
 
6/Snakes
Kuna aina nyingi za nyoka lakini nyoka ni nyoka na mtoto wa nyoka pia huitwa nyoka
Kama ilivyo kwa reptilia wengine nyoka nao hawawezi kurekebisha jotoridi la mwili... .kukiwa na baridi jotoridi la mwili hushuka na kukiwa na joto jotoridi hupanda na
Pindi baridi inapozidi wanakuwa kwenye hali ya dormancy
Wana jeuri ya kukaa bila kula kwa siku karibia nwaka mmoja
.......
 
 
si mchezo

wazamiaji inawafaa zaidi hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…