Nilitaka kujua juu ya kifo cha JFK je alikufa baada ya kupigwa risas au kesho yake?Kuna mdau amenifafanulia kuwa aloyekufa kesho yake ni nduguyeIf you didn't know, now you know!! Napitaga sana humu kimya kimya hahahah
Naheshimu sana hizi harakati... MAKAPUKU FORUM
Long live!! One love brothers & sisters... Jah bless
Hahahah nipo shemeji...Wewe jamaaa!
Hahahaaa! Nakuona nakuona
Hahahaa..Hahahah nipo shemeji...
Leo nataka nishinde hapa barazani kwako na nifuturu hapa hapa... Hata mkinifukuza sitoki
Nipo mkuu, vip pande hizoHahaaaa...
Mzee wa Pad upo?
Huku pako pouwa tuu mkuu..Nipo mkuu, vip pande hizo
Karibu mkuuSakayo hajambo kabisa
Karibu sanaIf you didn't know, now you know!! Napitaga sana humu kimya kimya hahahah
Naheshimu sana hizi harakati... MAKAPUKU FORUM
Long live!! One love brothers & sisters... Jah bless
Hapana mkuu, JFK hakufariki kesho yake... Alifariki kama nusu saa baada ya kupigwa risasi...Nilitaka kujua juu ya kifo cha JFK je alikufa baada ya kupigwa risas au kesho yake?Kuna mdau amenifafanulia kuwa aloyekufa kesho yake ni nduguye
Hapana mkuu, JFK hakufariki kesho yake... Alifariki kama nusu saa baada ya kupigwa risasi...
To be more precisely ni kwamba alipigwa risasi saa 12:00 PM November 22 eneo la Dealey Plaza (mbele kidogo ya Jengo la Texas Book Depository ambako inasadikiwa Oswald alikaa)
Alifikishwa hospitali ya Parkland Memorial saa 1:38 PM
Katibu msaidizi wa mawasilino ya Ikulu, Malcolm Kilduff alitangaza kuwa Kennedy amefariki majira ya saa 1:45... Inaaminika kwamba alikuwa amefariki kama saa 1:00 PM ila hakutangazwa muda huo ili makamu wake wa Rais Lyndon aweze kuondoka eneo la hospitali kwa usalama wa wake in case kama ilikuwa ni organized assassination maana yeye ndiye second in power..
Pia swali lako kuhusu nduguye... Naamini unamuongelea Robert (au maarufu Bobby)... Hapana hakufa kesho yake... Kama kumbukumbu yangu iko sawa, alikufa mika mitano baadae (1968)
Nadhani nimejibu swali kwa sehemu..
Umeonana nae leo.... Mbona unatupiga saundi T.?Sakayo hajambo kabisa
Hahahah... Leo nimependezwa tu nishinde humu!! Its great in here..Hahahaa..
Karibu mkuu...kuna mtu anaiba stori nini?
Asanteeeee..Karibu sana
Ubarikiwe sanaAsanteeeee..
Umemjibu vizuriHapana mkuu, JFK hakufariki kesho yake... Alifariki kama nusu saa baada ya kupigwa risasi...
To be more precisely ni kwamba alipigwa risasi saa 12:00 PM November 22 eneo la Dealey Plaza (mbele kidogo ya Jengo la Texas Book Depository ambako inasadikiwa Oswald alikaa)
Alifikishwa hospitali ya Parkland Memorial saa 1:38 PM
Katibu msaidizi wa mawasilino ya Ikulu, Malcolm Kilduff alitangaza kuwa Kennedy amefariki majira ya saa 1:45... Inaaminika kwamba alikuwa amefariki kama saa 1:00 PM ila hakutangazwa muda huo ili makamu wake wa Rais Lyndon aweze kuondoka eneo la hospitali kwa usalama wa wake in case kama ilikuwa ni organized assassination maana yeye ndiye second in power..
Pia swali lako kuhusu nduguye... Naamini unamuongelea Robert (au maarufu Bobby)... Hapana hakufa kesho yake... Kama kumbukumbu yangu iko sawa, alikufa mika mitano baadae (1968)
Nadhani nimejibu swali kwa sehemu..
Karibu mkuu..Hahahah... Leo nimependezwa tu nishinde humu!! Its great in here..
Asante kwa ufafanuziHapana mkuu, JFK hakufariki kesho yake... Alifariki kama nusu saa baada ya kupigwa risasi...
To be more precisely ni kwamba alipigwa risasi saa 12:00 PM November 22 eneo la Dealey Plaza (mbele kidogo ya Jengo la Texas Book Depository ambako inasadikiwa Oswald alikaa)
Alifikishwa hospitali ya Parkland Memorial saa 1:38 PM
Katibu msaidizi wa mawasilino ya Ikulu, Malcolm Kilduff alitangaza kuwa Kennedy amefariki majira ya saa 1:45... Inaaminika kwamba alikuwa amefariki kama saa 1:00 PM ila hakutangazwa muda huo ili makamu wake wa Rais Lyndon aweze kuondoka eneo la hospitali kwa usalama wa wake in case kama ilikuwa ni organized assassination maana yeye ndiye second in power..
Pia swali lako kuhusu nduguye... Naamini unamuongelea Robert (au maarufu Bobby)... Hapana hakufa kesho yake... Kama kumbukumbu yangu iko sawa, alikufa mika mitano baadae (1968)
Nadhani nimejibu swali kwa sehemu..
Nice to see you hereHahahah... Leo nimependezwa tu nishinde humu!! Its great in here..
Karibu sanaHahahah nipo shemeji...
Leo nataka nishinde hapa barazani kwako na nifuturu hapa hapa... Hata mkinifukuza sitoki
Pamoja sana chief..Umemjibu vizuri
Ila hajakuuliza vizuri
Nduguye ni RFK ambaye naye alipigwa risasi siku na mwaka tofauti ndiye aliyemlenga na nilimjibu kwamba alikufa kesho yake
Hivyo huyo mdau inaonekana kashindwa kuwatofautisha RFK na JFK maana wote waliuawa kwa kupigwa risasi ila ni matukio mawili tofauti
Ndiyo maana Hakuliamini jibu nililompa
Shukrani mdau
........