1981 - Jeshi la Anga la Israel lashambulia na kuharibu Vinu vya Nyuklia vya Iraq katika Shambulizi la kushtukiza lilijulikana kama Operesheni Opera au Operesheni Babylon.
me unitoe ukiongeza mkeKwenye nini mm nakupa taarifa tu ...
Zamu hii mushenga binamu
Unajilesiiii si ndiooo??Hapa ntajua kama dadaangu ananipenda kama ninavyompenda mimi... ...akikubali kushare tu najua hanipendi.
Jamaniiiii mama Dnashkuru shemela kwa kuliona hilo labda kuna kitu katuna nacho kimembadilisha
mimi tena huyo mkaliHapa ntajua kama dadaangu ananipenda kama ninavyompenda mimi... ...akikubali kushare tu najua hanipendi.
Mukongonilisema nani ana michepuko?
sa ngapiiii sijasalimia mtu mimiMke mkubwa umemsalimiaa ??
Sasa apo naongezajee kama unataka kutolewa ...hesabu hiz bhaname unitoe ukiongeza mke
Aku! baki na mkeo!Mke mkubwa umemsalimiaa ??
kama umeamua na kutaka mwenyewe kuchepuka nakuzuia vipii we endelea na moyo wakonunavyokutumaUtaendaa wapiii jamanii
Kwa hiyo unataka nianzzee kuchepukaa??
Aiseesa ngapiiii sijasalimia mtu mimi
Mke mdogo amekusalimiaa ??sa ngapiiii sijasalimia mtu mimi
Acha uchoyo! kizuri kula na mwenzioHapa ntajua kama dadaangu ananipenda kama ninavyompenda mimi... ...akikubali kushare tu najua hanipendi.
woiiiiiiimzee wa ma flowers na kweli wanajisumbua my love wako alikua anajibu asante tu au emoj ya ngumi ila mukongo shikamoo hivi umenpa nini mama mchuchu lakini
ukweli mchungu huo baba d shemela kaongea ukweli ujueJamaniiiii mama D
Huyo ashakuvurugaa tokea asubuhmimi tena huyo mkali
kukubaliana nini swala la mke wa pili kama unaamua ni maamuzi yako mwenyewe ila jua akiingia me natoka
sijasema jaman kwa hilo hata ushahidi uleteMukongo
HBD Cafu1970 - Cafu anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Brazil.
Pia amewahi kucheza katika klabu ya Ac Milan kwa mafanikio makubwa.
Amecheza katika fainali tatu za Kombe la Dunia, Mwaka 1994 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Italy Mwaka 1998 wakifungwa fainali dhidi ya Ufaransa na mwaka 2002 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani.
Ndiye beki bora wa kulia kuwahi kumshuhudia.
Mke mwenzako huyo tena mkubwaaAku! baki na mkeo!