Makapuku Forum

Kama kawaida yangu ni mwana wa makapuku forum ila huwa nazunguka sana huko mitaa mingine
Nimeingiia kule jf chit chat mtu kaweka uzi eti hajawahi kuielewa makapuku forum
Na nawaambia hawawezi kutuelewa kamwee

Makapuku forum hoyeeeeee
Sisi tunasonga tu
 
Kweli kiongoz,
 
Mmemsikia ibra87
 
Hii ni thread maalumu kwa ajili ya vijana kukutana na kujadili mambo mbalimbali kuhusu maujanja ya maisha pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili maishani pamoja na za Jf

Tusipangiane cha kupost
.........................
Naikumbuka vizuri hii prezdaa
 
Ndio sisi ni Makapuku kweli na kwa sasa tuko kwenye harakati za kupigania haki sawa dhidi ya wale wanaojiita wakongwe, kama hujaelewa unaruhusiwa kuuliza tena
Ikajibiwa na mrembo jimena

Makapuku raha sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…