shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante Lee kwa UFTuwe na siku njema wanafamilia yetu pendwa na kama kawaida yetu ....![]()
Shukran Bitoz1/Mantis Shrimp![]()
![]()
Kwa kiswahili anaitwa uduvi
Ni uduvi wa kundi la Stomatopodia
Wana kucha kali zenye uwezo wa kuvunja glasi au kukigawanja kidole cha binadamu sehemu mbili
Macho yao ni ya kuvutia
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Rukutane kesho
Mwisho
.......