Ni kweli
Pia nasikia km huli chakula bakteria wanautafuna utumbo na hivyo unapata vidonda vya tumbo
Pia mtu akikata roho fasta wanaanza kufanya yao
.....
MMU niliachaga zamani
Ndiyo Jukwaa linaloongoza kwa stori za uwongo
Huwezi kuamini nina zaidi ya miezi 3 sijaingia huko
Zaidi ya kuona vichwa vya habari kwenye New Posts
.......
Mkuu bitoz mpira wa yanga unaoneshwa channel ipii mm kwangu naandikiwa bad weather mara no signal wakati walai fundi alikula pesa yangu nzuriii tuu kunifungiaa .....