shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Majonzi ya nini tenaAvatar yako. Inanifurahisha ingawa na majonz
Majonzi ya nini tenaAvatar yako. Inanifurahisha ingawa na majonz
Hujambo?Asante shululu
We acha tu kuna watu wameniharibia sikuMajonzi ya nini tena
kitu cha balimiZiko home hapa...
Ni mwende wa kunyoosha mkono tuu![]()
Nimekuelewa sana we unaonaje uibadili auHa ha ha ha ha ha ha......hilo jina Shunie halina maana yoyote kwangu.. ...kuna rafiki yangu mmoja tulikuwa tunakutana internet cafe wakati huo smartphone hazijaingia alikuwa anajiita hilo jina ...wakati naingia insta nikajaribu kuchagua id nikaijaribu hio ikakubali basi nikaanza kuitumia.... Nilipoingia jf nikaamua kutumia hio hio.....lakini baada ya muda nimeanza kupata mawazo niibadilishe hii Id maana naona kama inaleta maana flani ambayo si nzuri.naomba ushauri wako.
Nakuona nyagei ...unatupa mshipi....
Samahani mkuu wewe ni Nyagei au Nyegei.
aone shemela shunie hapa
Asisikie Linamo taratibu taratibuDooh!
New voco in town...thanks mkuu
Sikujua hilo neno
Pole, hayo ni mambo ya kawaida tuWe acha tu kuna watu wameniharibia siku
Nipo shemelaCc shunie
Jibu lako umelisoma Shunie?
We acha tu, kuna watu wana nyota ya samakiKumbe umeona, kama vile hakuwa porini
Usijitetee Sakayo anataka kutekwa hukoWanarusha udongo tu sio mawe
Usiogope embe lako liko salama salimini
Majonzi ya nini bibie, nipo hapa kukupa kampani ondoa stressAvatar yako. Inanifurahisha ingawa na majonz
Hujaona huko page za nyumaNipo shemela
Rudi town bossHuku Baridi tuu mkuu..
Acha sakayo atekweee sikuteteiiBaby
Nilidhani kila mtandao una watu wakarimu kama makapukuPole, hayo ni mambo ya kawaida tu

Usishangae ndio boss wako
Nadhani id inajieleza au kuna kitu unataka zaidi kukijua mkuu?Nakuona nyagei ...unatupa mshipi....
Samahani mkuu wewe ni Nyagei au Nyegei.