shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Poa kabisa, vip za kolomijeFresh mkuu mishe vip?
Poa kabisa, vip za kolomijeFresh mkuu mishe vip?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Amekubali
Hongera sana kwa 203K[emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Kazi ya shemela shunie hiyoNakuona nakuona katibu mkuu unatoka tu shavu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ni kuhusu jina lako hivi linaendana na tabia kama unayo au uliamua tu kujiita samahani lakini
Subiri kwanza mzeewakungoa ajibuAhaaaaaah mweeehuu weweee
Niachie rafiki kipenz![]()
Hamna nilikua namjibu shemela wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unachukua kazi ya mama faizafoxy
shemela msikute hata nyie mlikua mnatamani kujua nimeuliza tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ameishajibu au badoAmekubali
Mimi nilitaka kumuuliza asubuhi kuwa kwa nini jina ameliunganisha, nikasita bila kufika sabashemela msikute hata nyie mlikua mnatamani kujua nimeuliza tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nilitaka kumuuliza asubuhi kuwa kwa nini jina ameliunganisha, nikasita bila kufika saba
basi shemela usijali aje atujibu na hilo la kuunganishaAmeishajibu au bado
Mimi nilitaka kumuuliza asubuhi kuwa kwa nini jina ameliunganisha, nikasita bila kufika saba
Oyooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mlinzi!!
Unakula barua sasa hivi..Nakuona nakuona katibu mkuu unatoka tu shavu
Ziko home hapa...Wooooooouuuuuuuuzaaaaaaaa
Ongezaaa mbabaaa
Ha ha ha ha ha ha ha......hilo jina Shunie halina maana yoyote kwangu.. ...kuna rafiki yangu mmoja tulikuwa tunakutana internet cafe wakati huo smartphone hazijaingia alikuwa anajiita hilo jina ...wakati naingia insta nikajaribu kuchagua id nikaijaribu hio ikakubali basi nikaanza kuitumia.... Nilipoingia jf nikaamua kutumia hio hio.....lakini baada ya muda nimeanza kupata mawazo niibadilishe hii Id maana naona kama inaleta maana flani ambayo si nzuri.naomba ushauri wako.ni kuhusu jina lako hivi linaendana na tabia kama unayo au uliamua tu kujiita samahani lakini