Wengi tu yametukuta masahibu ya Fools DayKweli mkuu ....
Nakumbuka mwaka 2003 tareh moja april tunapigiwa simu kuwa anko kafariki wote tukapuuzia na ilileta mtafaruko wa familia ilichukua mda kusolve hiyo kitu ...make wengi walidhania hatutaki kushiriki msiba
USA wanafiki sanaSo sad. Ingefanywa na Rais wa Nchi nyingine sidhani kama wangemsamehe!!
Viongozi wa dini ni sehemu ya mfumo uliopo... Kwa hio ili walinde ugali wao lazima waseme ya kumfurahisha mkuluWajinga sana aisee
Too young to leave the post..... And the has no order.Amenogewa na madaraka. Anadhihirisha tabia halisi tulizonazo Waafrika.
Mzima kiongoziMuwe na siku njema Makapuku wote
Ni poa mkuuNiaje wakuu
Nawe pia bwana kapukuMuwe na siku njema Makapuku wote
Nawe pia NyageiMuwe na siku njema Makapuku wote
ShemekiiiNi poa mkuu
Zi misi yenshi
Dadii akeeKumekucha salama bandugu ...
Wakuu kwa udhamin mnono wa Archduke soon tuone UF