Bhinamu kipenz mm nimekasirika sana unakumbuka jana tulivyojitahd kwa mama mchuchu kumbe yeye maflower kayatunza ....umeona replay alivomuona limukongo ??
Bhinamu kipenz mm nimekasirika sana unakumbuka jana tulivyojitahd kwa mama mchuchu kumbe yeye maflower kayatunza ....umeona replay alivomuona limukongo ??
Lol! Acha zako, anayenihurumiaga ni Shunie tu, sio wewe. Unajua kabisa mambo yangu yakikaa sawa hutakuwa na kisingizio cha kwenda kwa kina cheusi mangala.
Kwani anko, si unajua mimi na maflowers mbalimbali! Labda kama nikiumwa ila hata ikitokea hivyo wanaonijua wanajua cha kuleta kwa mgonjwa Mimi, fanta na wali ndondo of course na kuku wa kukaangwa.