Makapuku Forum

1989 - Freddy Adu anazaliwa.

Mwanasoka wa Kimarekani mwenye asili ya Ghana.

Alitajwa kama mmoja kati ya wachezaji chipukizi hatari ambao wangekuja kutikisa Dunia ya soka. Lakini alishindwa kutimiza malengo yake.
 
] Refa alikuwa ni Mwingereza Ken Aston
Km mnavyojua Waingereza na Wataliano hawapatani hivyo akajaribu kuleta fitna zake ila mwisho wa siku licha ya kubebwa na mwamuzi wenyeji Chile walipigwa goli 2 kwa Bashite
....
 
Refa alikuwa ni Mwingereza Ken Aston
Km mnavyojua Waingereza na Wataliano hawapatani hivyo akajaribu kuleta fitna zake ila mwisho wa siku licha ya kubebwa na mwamuzi wenyeji Chile walipigwa goli 2 kwa Bashite
....
Hahaha...2- Bashite

Mechi nyingine iliyojaa undava ni Kombe la Dunia la mwaka 1954 pale Uswizi kati ya Hungary na Brazil ambapo undava wa hali ya juu ulijitokeza. Mechi hiyo inaitwa Battle of Berne, ambapo vurugu zilianzia uwanjani na kuhamia ndani ya vyumba vya kubadilishia Nguo.

Baadae kidogo nitaleta mechi kumi zilizojaa ubabe na undava katika historia ya soka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…