Kiwanja kipo kwenye mwinuko.
Na nyumba ninayohitaji kujenga ni ya wastani ila si kubwa sana na lazima iwe ya mfumo wa kisasa, ndo maana nilikwambia iwe angalau na vyumba viwilili(kimoja kiwe master), sebule na dining. Nilihitaji na kitchen iwepo ila inaweza ikawa kubwa sana.