Nimeiona ndugu yangu na mtani wa Kikinga. Asante sana. Una moyo mzuri kwa sababu mtu mwingine asingeweza kuwa wazi namna hiyo. Kuna kijana wangu alikosa mkopo wa chuo na ana juhudi kweli. Nitamuuliza afanye upembuzi yakinifu kuhusu soko halafu nitakutonya. Nakushukuru MNO !!!