Makapuku Forum

 
[HASHTAG]#Shedede[/HASHTAG] Finish Our Story#
 

Ili kusonga lazima kuwa na wazo, kila mtu kuwa mbunifu, kujaribu, kutenda, kuwekeza, kutumia kwa kiasi na kuweka akiba kadri tuwezavyo.... hii itasaidia sana... katika maisha kuna kanuni nne ambazo ni nguvu, udhaifu, changamoto na fursa kwa ufupi NUFC) sasa NU yaani nguvu na Udhaifu inahusu mazingira yote ambayo tuna uamuzi nayo na FC ina husu mazingira ya nje ambayo hatuna nayo uwezo ila kwetu kwan ndani ni faida... hivyo kila mtu akijipanga vyema lazima tutasonga.
 
Ni kweli Mtumishi. Baada ya gharika tukaanza kula nyama. Japo ilitupatia protini nyingi imetuletea madhara mengi ikiwemo kutupunguzia muda wa kuishi. Hivi karibuni tumejivika Uungu na kuanza kubadilisha DNA ya mimea ili iweze kutunufaisha zaidi; na kwa kufanya hivyo pengine tunajitafutia matatizo zaidi.

Kama nilivyosema hapo juu, pili pili yo yote kali (ziko aina kibao za pilipili kali) ina hiyo compound inayosemekana kuwa na sifa ya kupambana na kansa na magonjwa ya moyo.
 
Nimekuelewa sana. Karibu
 
Asante sana ubarikiwe
 
napenda sana kuishi ndani ya nchi kama hizi population ni ndogo sana
 
Hebu tusubiri tuone
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…