Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,884
Hapa hata United Nation haitii mguu ndani
Unamaanisha kweli OAU? ama ulikusudia AU??
sio kusanifu tu!!.....................gharama za ujenzi ni 100%, human labour ni 90+% kutoka china, maintenence abd operations ni 100% kutoka china................... sasa nini maana yake hiii???...................
ukoloni tu wa kichina huo................ hakuna lolote..................... aibu kwa bara la afrika.................. hata makao makuu ya umoja wa afrika ilibidi kutembeza bakuli china???...................... bora hata ingekuwa nyumba ya nyasi lakini yetu wenyewe waafrika na sio marumaru na mavioo ya kuomba............... khaaaa!!!.................... nimekereka kweli!!..............
Mchina ndiye aliyesanifu kazi hii ya ujenzi wa OAU Addis Ababa, Ethiopia
ni kweli, lakini angalia umaskini ulioizungu ethiopia
Shukrani kunivuta koti, OAU ilishabadilika na kuwa African Union. Lakini halijaharibika neno kwa maana ni kitu kilekile ukirefusha maneno hayo.
Najiuliza usanifu na uzuri wa makao makuu ya AU kama yanalingana na wanaoingia humo na maamuzi yao...
Yeah captivating structures,it is sad that AU is accomplishing less and less as time goes by.
Najiuliza usanifu na uzuri wa makao makuu ya AU kama yanalingana na wanaoingia humo na maamuzi yao...
Kwani hawashuti?
Kushuti = kujamba! Kimombasa.