Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
- Thread starter
- #21
Kwani hawashuti?
Kushuti = kujamba! Kimombasa.
![]()
![]()
![]()
Hapa hata United Nation haitii mguu ndani
tumeshindwa hata kuchangia shughuli za msingi kuendesha umoja huu lakini (sijui) tunafurahia kujengewa na 'foreigners' facilities kama hizi.sio kusanifu tu!!.....................gharama za ujenzi ni 100%, human labour ni 90+% kutoka china, maintenence abd operations ni 100% kutoka china................... sasa nini maana yake hiii???...................
ukoloni tu wa kichina huo................ hakuna lolote..................... aibu kwa bara la afrika.................. hata makao makuu ya umoja wa afrika ilibidi kutembeza bakuli china???...................... bora hata ingekuwa nyumba ya nyasi lakini yetu wenyewe waafrika na sio marumaru na mavioo ya kuomba............... khaaaa!!!.................... nimekereka kweli!!..............
sio kusanifu tu!!.....................gharama za ujenzi ni 100%, human labour ni 90+% kutoka china, maintenence abd operations ni 100% kutoka china................... sasa nini maana yake hiii???...................
ukoloni tu wa kichina huo................ hakuna lolote..................... aibu kwa bara la afrika.................. hata makao makuu ya umoja wa afrika ilibidi kutembeza bakuli china???...................... bora hata ingekuwa nyumba ya nyasi lakini yetu wenyewe waafrika na sio marumaru na mavioo ya kuomba............... khaaaa!!!.................... nimekereka kweli!!..............
Ukiwakabidhi wazalendo kufanya kazi hiyo ndio yale yale yaliyotokea lile jengo la bank kuu ya Tanzania lenye minara pacha. Bora hao pesa iliyokadiriwa inaonekana ilipoishia. Waafrika longolongo nyingi wakati utendaji duni.
paukwee
Kazi ya Rip Gaddafi hiyo., ndiye amewezesha ujenzi wa jengo hilo.