Hii vita inatengeneza Iran mpya. Iran ingeachana na hayo mambo ya nuclear na maballistic ya masafa mareu, na kuacha ufadhili wa makundi ya kigaidi, isingekutana na hali hii, na ingekuwa miongoni mwa mataifa yenye maendeleo makibwa. Lakini kutokana na uhayawani wa watawala? Wairan wanaishi kwenye umaskini mkubwa. Iran ndiyo nchi pekee mashariki ya kati, ambayo wananchi wake wengi wamezagaa kwenye mataifa mengine ili kutafuta hali nzuri ya maisha, kwa sababu Iran haikaliki. Wairan walio wengi, hata kula nyama ni anasa:
Iran is facing a severe economic crisis with approximately 30–36% of its population living in poverty. Driven by, persistent 60% average inflation, soaring food prices, and international sanctions, households are cutting back on essentials like meat. The crisis, exacerbated by mismanagement and corruption, has left nearly 30 million people struggling with basic needs.
Baada ya hii vita, zaidi ya 50% ya Wairan watakuwa kwenye umaskini wa kutupwa.. Nchi ni maskini, halafu kidogo kinachopatikana, chote kinapelekwa kwenye miradi ya makombora na kufadhili makundi ya kigaidi.
Iran is a resource-rich nation—possessing the world's second-largest natural gas and fourth-largest oil reserves—that currently suffers from high poverty rates, with roughly 30% to over 50% of its population living below the poverty line.