Makanisa sita yachomwa moto Bukoba

Makanisa sita yachomwa moto Bukoba

Leo kwenye Channel 10 zaidi ya habari wameonyesha taarifa maalum kuhusu uchomwaji wa makanisa mjini Bukoba ambapo mpaka sasa yamefikia makanisa sita.

Mkuu wa jeshi la polisi asema wananchi wasaidie kuwafichua wahusika.

Mbunge wa Bukoba balozi Hamis kagasheki anasema wanaochoma wanataka kuwasingizia waislam ila yeye anawajua.

Wamechoma makanisa ya madhehebu karibia yote.

Sielewi nini kinaendelea kwa kweli taifa na dunia juu ya imani tupo kwenye mtihani mkubwa.

Source channel 10 Habari saa 1 usiku.

Kama Kagasheki anawajua si polisi wamhoji ni akina nani. nchi ya ajabu sana hii maana hata mkuu wa nchi alisema anawajua wahusika wakuu wa madawa ya kulevya lakini hakuhojiwa na wanaendelea.
 
Mmmmh hatari sasa mhe. Kama anawajua sasa si aende akaripoti polisi analeta mambo ya zito kuwa anayajua majina ya watu walioweka Pesa uswis na prof jakaya eti anawajua wauza unga wotee had I Leo ujinga tuuu

Kagasheki hata majangiri wa wanyama pori alikuwa anawajua vizuri, hata wale walioficha pesa Uswizi kagasheki anawajua vyema,kwani ameishi Uswizi miaka kibao akihudumu kwenye Ubalozi wa Tanzania.
 
Leo kwenye Channel 10 zaidi ya habari wameonyesha taarifa maalum kuhusu uchomwaji wa makanisa mjini Bukoba ambapo mpaka sasa yamefikia makanisa sita.

Mkuu wa jeshi la polisi asema wananchi wasaidie kuwafichua wahusika.

Mbunge wa Bukoba balozi Hamis kagasheki anasema wanaochoma wanataka kuwasingizia waislam ila yeye anawajua.

Wamechoma makanisa ya madhehebu karibia yote.

Sielewi nini kinaendelea kwa kweli taifa na dunia juu ya imani tupo kwenye mtihani mkubwa.

Source channel 10 Habari saa 1 usiku.

Disturbing the peace squad of the religion of peace is at work. The religion of peace is a joke
 
Kama Kagasheki anawajua si polisi wamhoji ni akina nani. nchi ya ajabu sana hii maana hata mkuu wa nchi alisema anawajua wahusika wakuu wa madawa ya kulevya lakini hakuhojiwa na wanaendelea.

Kuna kuwajua na kuwafahamu, nadhani kuwajua imekaa kama kutokuwa na uhakika ! inabidi wanafahamu vizuri kisha wawakilishe majina yao ili wakamatwe,
 
Kuna kuwajua na kuwafahamu, nadhani kuwajua imekaa kama kutokuwa na uhakika ! inabidi wanafahamu vizuri kisha wawakilishe majina yao ili wakamatwe,
Hiyo hiyo ya kuwajua awasilishe maana vinginevyo tutajua naye ni al shabab
 
Na mimi nimeona channel 10 zaidi ya habari.

Grátiam tuam, quæsumus,
Dómine, méntibus nostris infúnde;
ut qui, Ángelo nuntiánte,
Christi Fílii tui incarnatiónem cognóvimus,
per passiónem eius et crucem,
ad resurrectiónis glóriam perducámur.

Per eúndem Christum Dóminum nostrum. Amen

Pour forth, we beseech thee, O Lord, thy grace into our hearts; that we, to whom the Incarnation of Christ, thy Son, was made known by the message of an angel, may by his Passion and Cross be brought to the glory of his Resurrection. Through the same Christ, our Lord.
Amen.
 
Hivi mbona hatusikii misikiti imechomwa? au Wakristo wao hawaruhusiwi kuabudu!? kwanini lakini? Eee Mungu kama uishivyo moto wa kimbingu ukashuke kwa kasi ya ajabu kwa wote waliohusika na unyama huo, pamoja na wale walioratibu hilo tukio popote walipo ktk jina la Yesu Kristo..!!

Mmhh...ukigusa tu spika kuelekeza kusini wakiristo dunia nzima mtachinjwa mpaka basi, any way hao wanaowahujumu wakiristo wanachochea fujo
 
Bosi wangu mi cjui ila kuna genge la wanachama kama kina FaizaFoxy,Big show,Taby au faby wao wana majibu na sababu nzuri tu.subiri tuombe msaada kwao.
Hao ni wafia dini. Hawajui chochote kile zaidi ya ushabiki wa dini bandia.
 
Kiwewe cha uchaguzi tu...wanachoma wenyewe ili kuwatisha watu waone nchi inaweza ingia ktk vita ikiwa chama chao kitaanguka!sasa washajua wa tz ni waoga ni sawa na mabomu ya kanisani arusha/magaidi Amboni, mwishowe hujui hata inaishaje..mara kakamatwa mkenya..mara..poh lkn lengo ni kucheza na saikolojia za watu tu hamna kitu,eti ooh nawajua ndio kauli zao na mwingine alishasema anawajua ma dealer wa madawa ya kulevya mbona hawakutajwa?so issue inarudi palepale ni walewale
 
siku zote dini ya amani huonekana kwa misingi ya amani,upendo na matendo mema sasa unaweza ukaaona dini za shetani ni zip?na walio huko hawaoni hata kwa macho ya kawaida!!sasa uwachomee wenzio kanisa kama ww ni nani ww mungu au malaika!!IVI AWA WANAOKUFA KWANINI HAWARUDI WANGEWASIMULIA YANAYOWAPATA UKO KWA CHUKI ZAO KWA WENGINE!!
kuna dini zinafufua watu na bado waumini tele sembuse hiyo tu
 
kuna dini zinafufua watu na bado waumini tele sembuse hiyo tu

Tatizo sio tu kuwana waumini wengi !!hata shetani nae anawaumini wengi sana!!Tatzo je hizo dini na dini ya shetani znatofauti!!Maana Mungu hawez fanana na shetani hata siku moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom