Makanisa mawili yamechomwa Kigoma

Makanisa mawili yamechomwa Kigoma

Mkuu usiwe mkali, mimi sijatumwa na yeyote. Ila kama GT ninaona umuhimu wa kuhoji. Hebu tazama hata wewe timing ya tukio na muda taarifa inapotokea. Hii si habari ndogo mkuu.

Hebu jibu maswali haya:
1. Mbona habari hii haijasikika sehemu nyingine yoyote.
2.Kwa nini umechelewa kuitoa habarii hii?
3.Kwa nini uwe mkali ktk hili?

1. Delibarate
2. Natoa habari kadri ninavyoipata, kwani umeniajiri?!, jiulize, mbona habari ya tunduru haisikiki, unadhani vita imeisha.
3. Nimekutajia mpaka majina ya vitongoji, unang'ang'ana kubisha?!, confirm this from any person in Kigoma before you prove me wrong.
 
Naona kuna umuhimu wa kuanzisha sheria mpya na tofauti kuhusu haya masuala, aina fulani ya "hate crime".
 
Watakuwa ni wale wale wachomaji wa makanisa.Shehe mohamed issa anakataa kusema ni wahuni wachache ndo wanaochoma makanisa.Anasema ieleweke kwa hii move ni ya waislam wote.so logicaly uislam ni dini ya wahuni
 
Jamani habari za mtu wa karibu kaniambia kuna kanisa limechomwa uko Kigoma tujuzane zaidi kwa walio karibu

kichwa cha habari umesema makanisa mawili kwenye maelezo unasema umeambiwa kanisa limechomwa means moja which is which??
 
Utaolewa lini mkuu nataka nichangie harusi yako.
 
Mbona kama mnataka kumletea fitna rais wangu zito!! Mshaanza kumtaja... Anahusikaje..? Habari yenyewe sio ya kuaminika ..
 
ni kweli kuna kanisa moja limechomwa moto kigoma.Dhaifu yuko kwa sultan! mzaha mzaha utumbuka usaha!
 
He aisee ngoja tupate uthibitisho halafu turudi
tuje kuchangia.Mwenye uthibitisho please
 
kina nani waliochoma na sababu za kuchoma ni nini?
 
unauliza jibu, si itakuwa sababu ya mbagala, maana kama walianadamana duniani kote, kwa picha iliyoonekana amerika ambayo wengine hata hawakuiona!

kina nani waliochoma na sababu za kuchoma ni nini?
 
Habari ya kuchomwa kwa makanisa mkoani Kigoma si tetesi tena. Matukio haya yametokea usiku wa juzi kuamkia jana. Kuna jamaa yangu yupo huko na anasema matukio haya ni ya kweli na hata baadhi ya radio WAPO Radio FM kupitia mtangazaji wake Jacob Ruvilo alielezea matukio haya mabaya. Makanisa yaliyochomwa ni Kanisa la Pentekoste lililopo manispaa ya Ujiji (hili liliteketea lote), la pili ni la Anglican lililopo mtaa wa Bustani katika Halmashauri ya Kigoma mjini na la tatu ni la Tanzania Assemblis of God (TAG) lililopo kijiji cha Mkongoro. Mpaka sasa hakuna aliyekamatwa na hili limeongezea wasiwasi mkubwa wananchi hasa waumini wa kikristo. Inaelekea wachomaji wamejipanga vizuri na wanatumia mbinu ya kuyachoma makanisa haya nyakati za usiku.

Kuna haja ya serikali kupitia vyombo vyake vya usalama kudhibiti mwenendo huu haraka, kwani inaelekea huu ni mpango mkakati uliopangiliwa kutekelezwa nchini. Pia serikali ifanye jitihada ya kufunga vyombo vyote vya habari vinavyopandikiza chuki na vinavyohamasisha wananchi kulete vurugu kupitia dini.
 
Lyimo sijui hata niseme nini,Mungu anajua, nimelia na yale ya zanzibar, ikaja ya watoto wa sunday school waliopigwa bomu huko kenya, imefuata ya mbagala, leo kigoma, imetosha, Yesu rudi sasa uchukue kanisa lako.
 
Nyinyiem hawajatoa tamko? siasa za udini wamekuwa wakizishabikia na haya ndiyo matokeo yake. Haya matukio ni cha mtoto udini utakapokubali kuoana na siasa kama ambavyo nyinyiem wanavyotaka iwe, hiki wanachokiita kisiwa cha amani kitakuwa kitovu cha machafuko.
 
Back
Top Bottom