nani kalichoma?wahuni tena?
JK kaliangamiza taifa letu kwa udini. Go to hell JKilaza.
Lyimo sijui hata niseme nini,Mungu anajua, nimelia na yale ya zanzibar, ikaja ya watoto wa sunday school waliopigwa bomu huko kenya, imefuata ya mbagala, leo kigoma, imetosha, Yesu rudi sasa uchukue kanisa lako.
nani kalichoma?wahuni tena?
hata kwenye magazeti nadhani hii habari nimeisikia asubuhi.ila sikumbuki gazeti gani ni kanisa la tag kama sikosei.Nimeongea na jamaa zangu Kigoma hawajapata taarifa hizi.
nani kalichoma?wahuni tena?
Mfalme atapewa zawadi ya kitalu.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums