NINACHOFAHAMU:
1-Nchi yetu(TZ) haina dini; Haiongozwi kwa misingi ya dini-point.
2-Kila mtanzania anaruhusa ya kuchagua kwa hiari yake dini anayoitaka.-point
3-Kila mtanzania anauhuru wa kueneza dini yake kwa wengine ilimradi tu asivuruge amani kwa kutumia nguvu, kwa kulazimisha wegine wajiunge na dini yake.-point
4-Kila dini ilioko hapa nchi ina haki sawa na dini nyingine; isiwepo dini ya kulazimisha kuwa ndiyo bora kuliko nyigine, bali katika sera zake iwaachie watu wachague wenyewe kwa hiari yao.-point
5-Siyo lazima kila Mtanzania awe na dini, bali akae katika misingi ya sheria za nchi hii, zilizo halali.-point
6-Kila Mtanzania kwa njia moja au zaidi amepokea dini ambazo siyo asili ya nchi hii.-point
7-Serikali inaowajibu wa kuhakikisha amani ya nchi yetu inadumu, la sivyo lazima iwajibishe na wananchi wastaarabu.-point
8-Tusikubali WAENDAWAZI ama kutoka nje ya nchi au ndani ya nchi kutumia dini kutuvurugia amani. Amani ni haki ya kila Mtanzania.-Point
8