Makanisa mawili yamechomwa Kigoma

Makanisa mawili yamechomwa Kigoma

Sina pa kwenda

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
113
Reaction score
15
Jamani habari za mtu wa karibu kaniambia kuna kanisa limechomwa uko Kigoma tujuzane zaidi kwa walio karibu
 
Muulize vizuri nduguyo akusimulie kisa kizima ndipo uje.
 
Muombe hata mawili matatu nduguyangu. Hiyo habari ina-hang sana
 
Makanisa mawili ya kipendekoste ya MMPT MITAA YA Bulonge na Masanga hapa mjini KIGOMA yamechomwa moto usiku wa kuamkia leo. Source, mimi mwenyewe
 
nani kayachoma na kwa nini?
Zitto yuko wapi?si anataka kugombea urais huyu? Charity beggin at home
 
Last edited by a moderator:
Kuchoma makanisa ni ukafiri wa aina yake. Anayepaswa kulaumiwa hapa ni rais anayewaendekeza hawa wahuni wake waliojificha nyuma ya uislam. Waislam wasikubali kutumiwa na watu wenye hoja fichi hasa akina Ponda Issa Ponda mrundi anayetaka kuiona Tz ikiwa kama kwao Burundi sijui kwa faida ya nani?
 
Makanisa mawili ya kipendekoste ya MMPT MITAA YA Bulonge na Masanga hapa mjini KIGOMA yamechomwa moto usiku wa kuamkia leo. Source, mimi mwenyewe

Kuwa serious hata kidogo basi. Source gani hii, nilidhani hii ni breaking news kumbe tukio lenyewe la jana usiku. Sasa ulikuwa wapi muda wote huo? Afadhali ungesema tukio limetokea kijijini, kumbe hapo mjini. Wale wale! Uongo mwingine bwana, hata ukipakwa rangi haukolei.
 
Makanisa yachomwe jana usiku,taarifa utuletee saa 3 hii? Basi sio Breaking News!!
 
Kuwa serious hata kidogo basi. Source gani hii, nilidhani hii ni breaking news kumbe tukio lenyewe la jana usiku. Sasa ulikuwa wapi muda wote huo? Afadhali ungesema tukio limetokea kijijini, kumbe hapo mjini. Wale wale! Uongo mwingine bwana, hata ukipakwa rangi haukolei.

unadhani ni rahisi kukanusha ukweli?, umetumwa kuendeleza kuficha ukweli?!, time will tell.
 
unadhani ni rahisi kukanusha ukweli?, umetumwa kuendeleza kuficha ukweli?!, time will tell.

Mkuu usiwe mkali, mimi sijatumwa na yeyote. Ila kama GT ninaona umuhimu wa kuhoji. Hebu tazama hata wewe timing ya tukio na muda taarifa inapotokea. Hii si habari ndogo mkuu.

Hebu jibu maswali haya:
1. Mbona habari hii haijasikika sehemu nyingine yoyote.
2.Kwa nini umechelewa kuitoa habarii hii?
3.Kwa nini uwe mkali ktk hili?
 
Makanisa mawili ya kipendekoste ya MMPT MITAA YA Bulonge na Masanga hapa mjini KIGOMA yamechomwa moto usiku wa kuamkia leo. Source, mimi mwenyewe

Nimeongea na jamaa zangu Kigoma hawajapata taarifa hizi.
 
Mleta habari ukisema jana umeteleza,kuna kanisa moja dogo ndani ya kanisani kubwa ndilo lililoungua ingawaje sababu bado. CHANZO TBC REDIO.
 
JK kaliangamiza taifa letu kwa udini. Go to hell JKilaza.
 
asante kwa taarifa lakini twaomba picha sababu chanzo cha habari ni wewe mwenyewe. so tuwekee hizo picha tuone. mia
 
Picha tafadhali.Usilete feki za mwalimu dorotea hapa,tumesituka.
 
Siku zote njia ya mwongo fupi na mwisho wa ubaya ni aibu. Mleta mada naona umegundua kosa lako ndio maana umeamua kutokomea kizani. Ni vema kujipanga kwanza kabla ya kuleta topic hapa,sio kila kitu tushabikie tu bila sababu.
 
Back
Top Bottom