Makanali watatu wa Jeshi la Rwanda wakamatwa Dar, Wafikishwa Kisutu

Wana wivu na Rwanda kutwa kuisema wanaona Rwanda yasonga mbele kwa kasi kubwa Air rwanda inapasua anga kila uchao wao wana nchi kuubwa na kila kitu lakini maisha yao ya hohe hahe. Proudly Rwandese

Acheni mihemko. Hata kuna watusi hawapendi rwanda. Tanzania ni nyumbani kwa watu wote na makabila yote. Acheni ungese!
 
I see! Hilo la kujengewa hadi shule Tunduru nilikuwa silifahamu! Lakini kama ulivyosema, kuwachomoa wote is almost to impossible cuz' wale tuliowasomesha in the name of refugees tayari wana watoto ambao nao tayari ni old enough kuwemo ndani ya system.
Yuo are Right........!!!
 
Hivi mbona Tanzania ina Waburundi, Wakongo, Wamalawi na Wasomali wengi tena wanafanya mambo mengi mabaya katika Jamii zetu hizi lakini hamuwaandami kama mnavyowaandama Wanyarwanda?

Hivi Wanyarwanda tumewakoseeni nini nyie Watanzania? Kuna ambacho tumewalia labda tujichangishe tuwalipeni? Hivi mnajua kama hata huu 'ustawi' wenu mlionao na mnaojivunia nao sasa hata Raia wa Rwanda wameshiriki katika kuuchangia na kufanya uwepo hadi leo hii? Au ni hii IQ yetu kubwa na moyo wetu wa Ujasiri na Kujituma ndiyo unawateseni Watanzania?
Ala, kumbe GENTAMYCINE ni Mnyarwanda!
 
Kuna mmoja alitumwa na kagame kumchota mtu huku bongo kweli alifanikiwa sema alimchomwa wakamdakia kibamba,
Sema hawa watu wanajipanga mpaka Noah mpya alinunua show room ili tu huyu upinzani wa kagame arudi rwanda
 
Kuna mmoja alitumwa na kagame kumchota mtu huku bongo kweli alifanikiwa sema alimchomwa wakamdakia kibamba,
Sema hawa watu wanajipanga mpaka Noah mpya alinunua show room ili tu huyu upinzani wa kagame arudi rwanda
mbona kitu kidogo tu hicho
 
Zitapigwa simu juu kwa juu watajirudia nyumbani tu hao.

Jiulize kwanini waandishi wanazuiwa? Mbona wahabeshi wale wakikamatwa hata kama ni usiku kila kitu kinangoja asubuhi kukuche waaitwe waandishi wa habari itangazwe nchi nzima?
Kesi inaendaje?
 
Back
Top Bottom