Makanali watatu wa Jeshi la Rwanda wakamatwa Dar, Wafikishwa Kisutu

Wana wivu na Rwanda kutwa kuisema wanaona Rwanda yasonga mbele kwa kasi kubwa Air rwanda inapasua anga kila uchao wao wana nchi kuubwa na kila kitu lakini maisha yao ya hohe hahe. Proudly Rwandese

Kuna wakati kuficha ujinga kwa kubaki kimya "Hakika Inapendeza"
 
Hivi mbona Tanzania ina Waburundi, Wakongo, Wamalawi na Wasomali wengi tena wanafanya mambo mengi mabaya katika Jamii zetu hizi lakini hamuwaandami kama mnavyowaandama Wanyarwanda? Hivi Wanyarwanda tumewakoseeni nini nyie Watanzania? Kuna ambacho tumewalia labda tujichangishe tuwalipeni? Hivi mnajua kama hata huu ' ustawi ' wenu mlionao na mnaojivunia nao sasa hata Raia wa Rwanda wameshiriki katika kuuchangia na kufanya uwepo hadi leo hii? au ni hii IQ yetu kubwa na moyo wetu wa Ujasiri na Kujituma ndiyo unawateseni Watanzania?

Kagame alikuepo Uganda ktk vita Vya kumuingiza Museveni ikulu, then akapambana hadi kua Rais Rwanda , anahusika ktk machafuko Kongo na sasa makanali wa Rwanda wako mahakamani kisutu (kama ni kweli) kwa kujifanya ni WA-TZ kutoka Amani Tanga. Watus
 
Ndiyo nini sasa hii?, Comment ya hovyooooo..........
 
Kusema Pohamba kama hampendi JK, HAPANA; humtendei haki! Simfahamu hanifahamu lakini ki-JF JF, namfahamu sana! Hana chuki hata 0% dhidi ya JK. Hapa huenda alipotoka tu au kughafirika na yote hayo ni ada ya mwanadamu!
Nashukuru kwa kunielewa, JF Siku hizi kuna Vitoto vichanga kiakili
Ukitumia Fasihi hata ile nyepesi sana Basi wanatatarika Kama Bisi kwenye Moto, hata Yeye Mwenyewe Jk alijiita Mbwa mtembea Hovyo na hawakuelewa Kwanini alijiita Mbwa mtembea hovyo!
 
Cha maana kilichopo Rwanda ni kipi?! Watanzania na ufisadi wao wote wa kupenda vitu vya nje; sijawahi kusikia wakipeleka watoto shule/vyuo Rwanda, cjawahi kusikia wakienda kutibiwa Rwanda, cjawahi kuckia wakienda kufanya shopping Rwanda!!

What's so special in Rwanda?! Au ndo hiyo Rwandair? Ingekuwa shirika la ndege ni deal kiasi hicho basi Ethiopia Ingekuwa ndo largest economy in Africa!
Kweli kabisa

Mtu akitoka Kahama akiingia Rwanda anakimbiza hataree
 
Hivi mbona chadema mnafurahi nchi yetu ikikumbwa balaa? Juzi wakaja kuku na mafua ya ndege (worse than AIDS, mnapukutika kama nzige wakuopigwa xpel); nyie mkashibikia eti nchi rafiki; sasa hawa wanatuspy, nyie mko radhi kuwapa siri zetu kama ile ndege iliyokamatwa. Aibu!!
Umejuaje kuwa huyo ulom- quote ni chadema?
 
Waliingia kipindi kileee Nchi inashikwa na Mbwa Mtembea Hovyo Kama anavyojiita mwenyewe?
Huyu mnae msema ni smart sana katika siasa na amefanya mazuri katika nchi hii kuliko manavo dhani sema tu jina lake la pili halipendezi sana angekua anaitwa George au Paulo tungekua na mjadala wa kumpa Utakatifu "saint" ukilinganusha na hari ilivyo kwa wtzn kwasasa
 
Huyu mnaemsema ni smart sana katika siasa naamefanya mazuri katika nchi hii kuliko manavo dhani sema tu jina lake la pili halipendezi sana angekua anaitwa George au Paulo tungekua na mjadala wa kumpa Utakatifu "saint" ukilinganusha na hari ilivyo kwa wtzn kwasasa
Si Malaika, udhaifu wake lazima utajwe
 
Cha maana kilichopo Rwanda ni kipi?! Watanzania na ufisadi wao wote wa kupenda vitu vya nje; sijawahi kusikia wakipeleka watoto shule/vyuo Rwanda, cjawahi kusikia wakienda kutibiwa Rwanda, cjawahi kuckia wakienda kufanya shopping Rwanda!!

What's so special in Rwanda?! Au ndo hiyo Rwandair? Ingekuwa shirika la ndege ni deal kiasi hicho basi Ethiopia Ingekuwa ndo largest economy in Africa!

Watz Rwanda hawawez kaa kwanza kupo smart sana weng wajazoea kua smart hua naona watz weng Hawajiamini pia washazoea kuishi maisha ya Tumbili pale hawawez ishi,kutibiwa wamekuja weng sana kama unaona kutibiwa dili uliza watu wa mikoa ya Kagera(Ngara,Karagwe,geita kahama Etc) shule hamna akili za kuja kusoma huku ukitaka kujua uspesho wa rwandaair mpaka siku ukoo wenu 1 wenu atake kupanda ndege ndio atakuadisia.
 
Kagame alikuepo Uganda ktk vita Vya kumuingiza Museveni ikulu, then akapambana hadi kua Rais Rwanda , anahusika ktk machafuko Kongo na sasa makanali wa Rwanda wako mahakamani kisutu (kama ni kweli) kwa kujifanya ni WA-TZ kutoka Amani Tanga. Watus

Kongo ina matatizo yake Sugu toka kagame Ajazaliwa Hizo fake news mnazosoma endeleen kusubiria ela za Makinikia Rwanda yasonga Mbele pia sijawaelewa Watz weng wanaiongelea Rwanda lakin Hapa Rwanda huwez skia wanaiongelea Tz hawana muda wao ni kazi juu ya Kazi na kuna wengine wengi ukiwauliza Tz mwaijua wanasema n nin hiki.
 
Kuna wanyarwanda wengi sana serikalini hata kwenye taasisi nyeti. Nenda pale Ubungo kwenye Hotel Kagame wanakutana mara kwa mara, labda km wameacha!!!! Waliwahi kushangilia kifo cha Mtikila nikahisi labda wanahusika.

Dawa ni kuwafanyia kitu mbaya hadi waione Tz km Guantanamo!

Sasa kumbe unajua mpaka wanapokutania kwanin usiende hata kuwarushia chupa ya mkojo Tu au kurusha mawe kwenye ile Hotel yenye jina ya Presidaa wacu.... wivu umewajaa maisha yamewashinda Wageni wamekuja kuwekeza hapo mnatokwa povu East Africa Hakuna mtu mjanja kama Rwandese Weka mbali na watoto pale Nairobi wanajua sie watu wa kimya kimya kama mafala vile kumbe tuna yetu Rwanda Foreverrrrr.
 
Back
Top Bottom