popoma
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 2,379
- 3,357
Kwani analindwa na hao wanyarwanda???Huenda ni kati ya walinzi wa baba bashite au like genge la mauaji linaloongozwa na bashite
Kwani analindwa na hao wanyarwanda???Huenda ni kati ya walinzi wa baba bashite au like genge la mauaji linaloongozwa na bashite
Kwa hapo hata mimi nitaamini tu kuwa tumewekewa pandikizi na nchi jirani"Wasipigwe picha kwa maslahi yetu na Rwanda" Naanza kuamini kuwa kuna kikosi kinamlinda Mkulu kutoka huko shingo ndefu!!
Unafahamu mwanajeshi akitaka kuingia nchi ya ugenini/Nchi jirani anatakiwa afanye nini kisheria? Ukipata jibu urudi ku comment tena!Hivi mbona Tanzania ina Waburundi, Wakongo, Wamalawi na Wasomali wengi tena wanafanya mambo mengi mabaya katika Jamii zetu hizi lakini hamuwaandami kama mnavyowaandama Wanyarwanda? Hivi Wanyarwanda tumewakoseeni nini nyie Watanzania? Kuna ambacho tumewalia labda tujichangishe tuwalipeni? Hivi mnajua kama hata huu ' ustawi ' wenu mlionao na mnaojivunia nao sasa hata Raia wa Rwanda wameshiriki katika kuuchangia na kufanya uwepo hadi leo hii? au ni hii IQ yetu kubwa na moyo wetu wa Ujasiri na Kujituma ndiyo unawateseni Watanzania?
Na ndio lengo Hilo. Yaani Dr Shika leo kashuka Kahama, tayari nayo ni habari!Hivi hii kesi imeishia wapi wakuu maana nishasahau kabisa.
Mambo yanaingiliana mara Dr Shika, mara Bashite sijui Lulu wa Kanumba mpaka tunasahau wengine
Muulize juu ya sheria zinazohusu Wanajeshi pindi wanaposafir kuingia nchi nyingine, Soldier na sio Civilian......sheria zipo wazi sana, lazima uwe na kibali maalum otherwise tutakukamata tuu, maana utakuwa una spy, or tunaweza kuzuia uharibifu wako unaouendeleza kwa namna yyte ile.Upuuzi mtupu kwa nini jitihada zenu zisijenge kwenu nyie wabaguzi mnagombana kila kukicha. MNA nini nyie mmejaa ukabila.kila Siku mnafikiria nani awe kiongozi wa nchi kati ya mtusi na mhutu. Kama kweli wewe myarwanda nimechukizwa na comment yako.
Hizi double standard hazitatuacha salama haki ya naneKwanini iwe Siri kwa Waharifu, nlishangaa sana. Halafu kwanini kesi ifanyikie Mahakama za Watoto? Mharifu ni mharifu tu. Wawekwe hadharani tuwapige picha kama tulivyofanya kwa Manji, wazee wa ESROW Lissu na wengine wengi. Wachuchumae pale wapigwe picha ziende hadi Rwanda. Kwanini Mahakama zinakubali kufanya Upendeleo huu?
View attachment 636488
Mmiliki wa VIP Engineering and Marketing, James Rugemalila(mwenye Mvi), na Mmiliki wa Kampuni ya IPTL Harbinder Singh Sethi(aliyevaa kilemba) wakiwa Mahakamani Kisutu Dar es Salaam mwezi jun 2017
Acha ungeseWaliingia kipindi kileee Nchi inashikwa na Mbwa Mtembea Hovyo Kama anavyojiita mwenyewe?
Amekuwa mbwa mtembea ovyo mara hii?!, tatizo lenu baadhi yetu huwa mnatumia matumbo kufikiri badala ya vichwa, Mnalazimika hadi kuwatukana ambao mlifunga hadi kamba za viatu vya watoto wao, ili tu kujipendekeza kwa waliopo saa hizi.Waliingia kipindi kileee Nchi inashikwa na Mbwa Mtembea Hovyo Kama anavyojiita mwenyewe?
Hizo bangi hazikufai eti IQ kubwa hahahahaa give me a break! Tunashukuru watanzania tumegutuka tuliwakaribisha nchi kama jirani tukawapa elimu miaka ya 60, mlipokuwa mnauwana tukafungua milango ili msimalizane then kumbe tumefuga nyoka..Ile kampeni aliyoianzisha kikwete itaendeleaHivi mbona Tanzania ina Waburundi, Wakongo, Wamalawi na Wasomali wengi tena wanafanya mambo mengi mabaya katika Jamii zetu hizi lakini hamuwaandami kama mnavyowaandama Wanyarwanda? Hivi Wanyarwanda tumewakoseeni nini nyie Watanzania? Kuna ambacho tumewalia labda tujichangishe tuwalipeni? Hivi mnajua kama hata huu ' ustawi ' wenu mlionao na mnaojivunia nao sasa hata Raia wa Rwanda wameshiriki katika kuuchangia na kufanya uwepo hadi leo hii? au ni hii IQ yetu kubwa na moyo wetu wa Ujasiri na Kujituma ndiyo unawateseni Watanzania?
Atafahamu vipi hata mgambo hajapiga huyoUnafahamu mwanajeshi akitaka kuingia nchi ya ugenini/Nchi jirani anatakiwa afanye nini kisheria? Ukipata jibu urudi ku comment tena!
Mkuu humu wengi hawaelewi hayo wao wamekaa kimahaba zaidiMuulize juu ya sheria zinazohusu Wanajeshi pindi wanaposafir kuingia nchi nyingine, Soldier na sio Civilian......sheria zipo wazi sana, lazima uwe na kibali maalum otherwise tutakukamata tuu, maana utakuwa una spy, or tunaweza kuzuia uharibifu wako unaouendeleza kwa namna yyte ile.
Hiyo haitachukua muda atatengua uteuziSitoshangaa DPP akitimuliwa.
Huwa wanakanyagwa kimya kimyaMbona wa mda mrefu nilijua wameshashughulikiwa, lakini Je maspy ndio hupelekwa mahakamani au kuna namna humalizana? Hapo hakuna kesi.
Duh this is too much hata wewe mwanaccm kindakindaki.Waliingia kipindi kileee Nchi inashikwa na Mbwa Mtembea Hovyo Kama anavyojiita mwenyewe?
Sasa ndio nashangaa, huu ni mpango wa kuwaachia. Hakuna kesi hapo. Mtu wa namna hiyo mnampoteza tu.Huwa wanakanyagwa kimya kimya