Makamu wa Kwanza wa Rais azua balaa CCM

Makamu wa Kwanza wa Rais azua balaa CCM

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS AZUA BALAA CCM

Na Jabir Idrissa, Zanzibar

Ndugu yangu Jabir acha kuwapa tamaa za kijinga wenzako..unajua fika kwamba uchaguzi utarudiwa na kuna wapambe watapandishwa mahakamani baada ya ushahidi kukamilika..
 
Ukweli wa mambo Maalim Seif hawezi kuwa Rais wa Zanzibar.
Huu ni ukweli mchungu!.Sio mara moja wala mbili nimekuwa nikiwauliza jamaa zangu wa CUF, kama ni kweli siku zote Maalim huwa anashinda lakini hapewi, nini kitakachofanya akishinda safari hii apewe?!. Hakuna anayejibu!.

Pasco
 
Pasco, hii ni shida ya CCM zaidi ya Maalim Seif.

Mimi huwa najiuliza mara mia sipati jibu. Hivi chama kilichokaa madarakani miaka 50+, kina haja ya kurudi madarakani kwa kutumia MABANGO, WASANII, WIZI WA KURA, VITISHO VYA DOLA dhidi ya chama ambacho hakijawahi kupewa nafasi ya kuonesha machejo yake?

Maalim Seif awe mbaya au mzuri, sasa ni wakati wa kuapishwa. CCM walikuwa na nafasi ya kufuta upinzani Zanzibar, kwa kununua mioyo ya hao watu ambao ukiwazidisha mara 2 bado hawaijazi wilaya ya Temeke. Badala yake leo CCM inaanzisha fujo eti kwa kisingizio cha kulinda muungano (kwa mujibu wa bandiko lako). Hii si sawa, kama CCM ina nia ya kulinda amani, basi HAKI itangulizwe mbele. Vinginevyo sasa, serikali itakuwa inachafua amani kwa vitendo.
Mkuu watokea Hizbu au?
 
Kuna watu naheshimu sana na muda mwingi nakubaliana na mawazo yao humu ni Pasco lakini kwa hili la Maalim kuwa au kutokuwa Rais wa visiwani Hapana.Swali dogo ninalojiuliza iwapo CUF wataendelea na msimamo kuwa hawatarudia uchaguzi maana yake ni nini?Siku ya uchaguzi,wafuasi na viongozi wao watakaa majumbani wakisubiri wachaguliwe Rais?Watajikusanya pamoja na kufanya mikutano siku hiyo kitu ambacho hakiruhusiwi kisheria?Na kama tunavyojua Cuf ina wafuas wengi ZNZ na huwa si rahisi wao kukubali pale wanapohisi hakuna haki.Urais wa maalim seif au matumizi ya zile gari 700 ya polisi..?
 
Last edited by a moderator:
Yaani kuna watu wanataka kuvaminisha kuwa CUF wakishika dola basi kutatokea vurugu. Hv tujiulize ni aliyeua watu visiwani mwaka 2001? Si CCM hao hao mnaowashabikia? Acheni unazi, Maalim Seif apewe haki yake.
 
je haya mliyajua baada ya kumaliza kutangaza majimbo ya UNGUJA?
Thanks, Irregularites zinazongumzwa ni pamoja na hizo za ZEC. Ni aibu kwa wajumbe wa ZEC kuchapana makonde wao kwa wao. It means they were not impartial. Professionalism was lackng.
 
Hupati jibu kwa kuwa unakosea wa kuwauliza,swali hili ulitakiwa uwaulize CCM
Huu ni ukweli mchungu!.Sio mara moja wala mbili nimekuwa nikiwauliza jamaa zangu wa CUF, kama ni kweli siku zote Maalim huwa anashinda lakini hapewi, nini kitakachofanya akishinda safari hii apewe?!. Hakuna anayejibu!.

Pasco
 
Kiukweli leo nimemshangaa sana Pasco ,nilitaraji kwa kuwa ni mwandishi mahiri angeshatoa ushauri KABLA HATA YA SEPTEMBER kwa hawa jamaa wa CUF wasishiriki uchaguzi wowote wa RAIS ZANZIBAR kwani wanapoteza muda
Kuna watu naheshimu sana na muda mwingi nakubaliana na mawazo yao humu ni Pasco lakini kwa hili la Maalim kuwa au kutokuwa Rais wa visiwani Hapana.Swali dogo ninalojiuliza iwapo CUF wataendelea na msimamo kuwa hawatarudia uchaguzi maana yake ni nini?Siku ya uchaguzi,wafuasi na viongozi wao watakaa majumbani wakisubiri wachaguliwe Rais?Watajikusanya pamoja na kufanya mikutano siku hiyo kitu ambacho hakiruhusiwi kisheria?Na kama tunavyojua Cuf ina wafuas wengi ZNZ na huwa si rahisi wao kukubali pale wanapohisi hakuna haki.Urais wa maalim seif au matumizi ya zile gari 700 ya polisi..?
 
Jabir Idrisa anafaamika msimamo wake tangu alipokuwa gazeti la UHURU. Ukweli wa mambo Maalim Seif hawezi kuwa Rais wa Zanzibar. CUF wenyewe wanajua kuwa Maalim akiwa Rais vurugu kubwa itatokea Zanzibar na kumfanya Maalim Seif asiongoze hata kwa siku mbili. Hali ya Zanzibar ni tete. Watanzania wote wazalendo ni lazima waendelee kuiombea Zanzibar.

wacha niwe shetani na nisiwe mzalendo kwa kutoiombea Zanzibar amani. Yaani mishetani ishindwe halafu eti ifute uchaguzi then tuombe??? Siko tayari kumchosha YESU KRISTO
 
Mkuu GHIBUU, hakuna ubaya kujipa matumaini kuwa Jecha anaweza kulamba matapishi yake!, lakini kujipa matumaini hewa, ni kuzidi tuu kujiumiza!.

Laiti ungezijua sababu halisi za kufutwa kwa matokeo hayo ya Zanzibar, usingeendelea kujipa matumaini hewa!.

Mimi niliwahi kuwaeleza humu lakini hamkuamini hadi yametokea!.

Natafakari tuu haya yanayotokea Zanzibar na hiki nilichoandika mwaka 2008!.

Pasco
Kwenye uzi huu

Ni nini kinachosumbua Maalim Seif? - Page 11 -

niliuliza hivi
Sikujibiwaga popote, ila kilichofanywa na Jecha ndilo jibu la swali hili!.

Pasco

Kwangu haijalishi nani anatawala Zanzibar. Maana waliokuja baada ya Sultani na wakoloni ni wabaya kuliko wakoloni hao. Maana hii nchi ingekuwa ya wakoloni wao wenyewe na watu wao ni weupe kama wao wasingefanya unyama na ujinga unaofanywa na watawala wa sasa.
I don't care who rules Zanzibar na ni uhakika Zanzibar itafika mbali zaidi ikiondokna na CCM. So be it.
 
Mkuu GHIBUU, hakuna ubaya kujipa matumaini kuwa Jecha anaweza kulamba matapishi yake!, lakini kujipa matumaini hewa, ni kuzidi tuu kujiumiza!.

Laiti ungezijua sababu halisi za kufutwa kwa matokeo hayo ya Zanzibar, usingeendelea kujipa matumaini hewa!.

Mimi niliwahi kuwaeleza humu lakini hamkuamini hadi yametokea!.

Natafakari tuu haya yanayotokea Zanzibar na hiki nilichoandika mwaka 2008!.

Pasco
Kwenye uzi huu

[h=3]Ni nini kinachosumbua Maalim Seif? - Page 11 -[/h]niliuliza hivi
Sikujibiwaga popote, ila kilichofanywa na Jecha ndilo jibu la swali hili!.

Pasco
Natuma tuu salam zangu za kusherehekea kumbukumbu ya miaka 52 ya Mapinduzi, Matukufu ya Zanzibar!.

Pasco
 
Toa uwongo wako hapa uchaguzi Zanzibar utarudiwa.
 
No Shein sio Sultani, bali aliyeshinda ni Sultani ndio maana kuliko kumpa nchi sultani, boa kufuta matokeo!.

Pasco

Pasco hapo ndipo unapozidi kujichanganya! Baada ya mapinduzi mapya ya Dr. Shein ya mwaka 2015 , haya sio yale ya mapinduzi ya miaka 52 nyuma! Kinachonishangaza mimi ni kwamba huyo 'Sultani' aliyepinduliwa 2015 kabla ya 1992 (Vyama vingi) naye alikuwa ni part ya hao wanamapinduzi! jee alistahili kupinduliwa kweli au kwa sababu ya Kushinda ndio apinduliwe?
 
Jabir Idrisa anafaamika msimamo wake tangu alipokuwa gazeti la UHURU. Ukweli wa mambo Maalim Seif hawezi kuwa Rais wa Zanzibar. CUF wenyewe wanajua kuwa Maalim akiwa Rais vurugu kubwa itatokea Zanzibar na kumfanya Maalim Seif asiongoze hata kwa siku mbili. Hali ya Zanzibar ni tete. Watanzania wote wazalendo ni lazima waendelee kuiombea Zanzibar.
unaandika uongo kwa faida ya nani ?
 
Rais Dr Shein keshatangaza rasmi uchaguzi utarudiwa. Hayo mengine ni maoni ya magazeti ya kufungia mandazi kama mawio na tanzania daima
 
Rais Dr Shein keshatangaza rasmi uchaguzi utarudiwa. Hayo mengine ni maoni ya magazeti ya kufungia mandazi kama mawio na tanzania daima

Arejee uchaguzi kwa sababu alishindwa uchaguzi! Huko ni kupindisha katiba na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.
 
Back
Top Bottom