Mkuu,heshima mbele.CCM wanataka kulinda muungano ili amani iendelee kuwepo.Hii amani sio kwa wazanzibari tuu.Pia kwa watanganyika na nchi nyingine zilizo karibu.CUF wakipewa nchi basi tutarajie kuona waarabu wakirudisha mamlaka yao zanzibar.tutarajie kuwa na ISIS,ALQEADA,BOKO HARAM,AL SHABAAB na wengineo wengi ndani ya zanzibar.nchi nyingi za middle east ziko vitani(direct or indirect) na tusingependa haya mambo yatokee kwetu.maalim Seif akubali kuendelea kuwa makamo wa kwanza.wingi wa kura hakumfanyi yeye kuwa raisi.