Mkuu pasco
Wewe ni katika Wana jf wachache sana, waliobakia humu, wenye kutoa hoja za msingi na zenye kuleta mantiki, na sio blah blah tu.
Ningependa sasa utujuze via ufahamu wako, unaoonekana ni mpana, kwamba, maalim seif ni mtoto wa mfalme yupi wa zanzibar katika wale wote, tunajua wa mwisho ni jamshid , au yule wa last but one