Makamu Nchimbi kwanini "Bodyguards" wake wote ni wanzanzibari je ni uoga wa machawa wa Mama?
Yaani wenyewe hawana imani kiasi kwamba wanafikiri ana muhujumu Mama hivyo wapambe wa Mama wamehakikisha amezungukwa na wazanzibari tupu.
Je tumefika huko ? tumekuwa tukisikia tu lakini angalienei kila video kwa wanaowajua jamaa hawa ni wanzanzibari tupu
View: https://youtu.be/H1ZC3SC0nB0?si=ojl6tycos0-atptr
Niliota ndoto : Mungu anasema Mama ni wakati wa kuaga watanzania sijui hii ina maana gani.