Mbowe amesuka mipango yote ya kuwachakaza Lisu na Heche ili arejee chadema kwa njia haramu za hovyoMafwele ameshamaliza kazi anasubiri mgao wake toka kwa Abdul , hapo kama namuona Sultan Mbowe mipango ya kumrudishia kijiwe chake inaelekea kukamilika.
Anza na mbowe kwani ndiyo mla mjama zote yeye anawachochea maccm kisha anakaa mbali akijidai hajui kituNaomba awafie mikononi tu, tuanze kukimbizana mchana kweupe sasa.
Huyu mzee mpuuzi sana na macho yake kama sato .Mbowe amesuka mipango yote ya kuwachakaza Lisu na Heche ili arejee chadema kwa njia haramu za hovyo
Kinachoniuma zaidi wanaomponda mama hawasemi hili. Hata Polepole angesema hili katika hotuba yake ya kwanza maandamano yangefanyika mapema. Na uchaguzi usingefanyika. Kosa laa Polepole ni kung'ang'ania kubaki CCM na uchaguzi ufanyike mwaka huu.Chanzo cha Serikali kukosa haya ni Magufuli, ndiyo maana leo katiba inaitwa kijitabu, Magufuli ni source wa haya yote kuchezea katiba na ndio maana wengine hawa wanaona katiba haina maana
Be strong John Heche, Mungu akurejeshee afya na nguvu tele
Sio wote,mtu kama mzee Warioba mtoeCCM popote mlipo, matako yenu mbwa nyie
Watu wa profile yake huwa wanashikiliwa wapi?Duh...!, kwa profile ya Heche kushikiliwa kituo cha polisi!, inatia mashaka sana!.
P.