PostGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche azidiwa, akimbizwa hosptali ya taifa ya Muhimbili

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora.

Taarifa hizi, zimethibitishwa na mmoja wa wanafamilia wa mwanasiasa huyo. Anasema, Heche alichukuliwa kutoka kituo cha polisi cha Mburahati, alikokuwa anashikiliwa na kukimbizwa hospitali, kutokana na hali yake ya kiafya kuendelea kuwa mbaya. Hajasema anasumbuliwa na maradhi gani.

Pia Soma: John Heche kusitisha kula kuanzia leo akiwa mahabusu
1762614182688.png

Chanzo: Mwanahalisi Digital
 
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora.

Taarifa hizi, zimethibitishwa na mmoja wa wanafamilia wa mwanasiasa huyo. Anasema, Heche alichukuliwa kutoka kituo cha polisi cha Mburahati, alikokuwa anashikiliwa na kukimbizwa hospitali, kutokana na hali yake ya kiafya kuendelea kuwa mbaya. Hajasema anasumbuliwa na maradhi gani.
CHANZO ;Mwanahalisi
 
Chanzo cha Serikali kukosa haya ni Magufuli, ndiyo maana leo katiba inaitwa kijitabu, Magufuli ni source wa haya yote kuchezea katiba na ndio maana wengine hawa wanaona katiba haina maana

Be strong John Heche, Mungu akurejeshee afya na nguvu tele
 
Mtu yoyote anayeweza kuwa Rais, wanataka mamuue... Hii nchi haitawalika
 
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora.

Taarifa hizi, zimethibitishwa na mmoja wa wanafamilia wa mwanasiasa huyo. Anasema, Heche alichukuliwa kutoka kituo cha polisi cha Mburahati, alikokuwa anashikiliwa na kukimbizwa hospitali, kutokana na hali yake ya kiafya kuendelea kuwa mbaya. Hajasema anasumbuliwa na maradhi gani.

Chanzo: Mwanahalisi Digital
Aisee
 
Duh...!, kwa profile ya Heche kushikiliwa kituo cha polisi!, inatia mashaka sana!.

P.
 
Hili halikubaliki na tutaliongeza kwenye mtaala wa Kuwahamasisha Gen-Z.

Hawa watu wanafanya makusudi kuhakikisha mtu ambaye anaweza kuwa Rais wanamuua. Au Wanamfamya kama Lowassa.

Mpina Checkout
 
Back
Top Bottom