Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,489
- 34,796
Hatuna Raisi, nchi ipo kwenye auto-pilotTuliwaambia toka mwanzo watenganishe kofia hizi wakagoma, sasa unapata wapi nguvu ya kumpinga Mwenyekiti wako wa chama ambaye ndiye Rais wa nchi na amri jeshi mkuu nje ya vikao vya chama.
Huyu mzee naona waliomshauri wamekosea sana.