Makampuni ya magari yamekuja na utapeli mpya wa features subscription!

Makampuni ya magari yamekuja na utapeli mpya wa features subscription!

Features nyingi ulizotaja siyo lazima sana kuzitumia so ukitaka kutumia lipia
 
Waarabu, warusi, wairan, wachina na North Korea wametengeneza magari mazuri sana. Hizo features unatumia bure
Mimi ninayo gari imetengenezwa Iran, ni nzuri na hizo features natumia bure kabisa
Nadhani mnunuzi wa kwanza wa hilo gari aliisha zilipia kama unatumia used car. Ila kama wewe ndiye mnunuzi wa kwanza ziko kwenye thamani ya gari umeshazilipia.
Electronic engineer na programers wanatafuta soko kwa lazima, watauza wapi taaluma yao wasipoiingiza kwenye vitu tutumiavyo kila siku?
 
Back
Top Bottom