Makampuni Makubwa Yatikisika

Labda anatamani kutuletea umaskini wa kutupwa ili wakati wakura awagawie wansnchi kofia, tisheti na khanga ili wampigie kura. Akimaliza kuwafanya watz kuwa duni hatakuwa na wa kumpinga kila alitakalo..simuungi mkono ni mbovu sana ktk eneo la uchumi
 
shell= Vituo vya mafuta
Shell ni kampuni kubwa ya mafuta huko America.. ni kama zilivyo PUMA, BP, TOTAL na ORYX
Mkuu kwa watanzania wengi shell ni vituo vyote vya mafuta bila kujali ni kampuni gani ya hivyo vituo. Kazi kwelikweli
 
Economic recession do occur many countries .
 
Ni wazi Kodi sio rafiki kwa sababu kama maduka madogo yanafungwa kwa Kodi kubwa wanazokadiwa he makampuni yatapinaje. Nilienda kuomba leseni ya duka LA mtaji wa laki tano nikakadiriwa nilipe shs laki tatu. Sasa nikamuuliza huyo assessor, nikikupa laki tatu hiyo biashara nifungua na nini?

Point to take - kweli pamoja na kwamba kulikuwa na wakwepa Kodi lkn sasa hivi Kodi sio rafiki. Watu watafunga biashara kwa kupata hasara na baadaye walibaki watafungwa kwa kuibiwa ibiwa maana wezi watakuwa wengi mtaani.
 
= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Kuwacha=kuacha
Hivi mlienda shule kusomea ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacha chamoto waione walizoea kupiga dili
 
= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Wasomi wengi wanamatizo ya R na L kimatamshi na kimaandishi alipingiki mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Hujuwi = Hajui
Muosha huoshwa pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Oyooooo!!! Faiza kakubali mawazo. Next time wasilisha vizuri naamini yeye kakuelewa sio kama wale vichwa panzi wengine.
 
Tupe hesabu kodi kiasi gani itapotea? Labda ndio zimesababisha makusanyo kuongezeka
 
Problem kubwa kwa sasa ni CAPITAL ASSUARANCE ya wafanyabiashara reflecting on POLITICAL DECISIONS..Watu wanaon kuliko kupoteza Mtaji bora kufunga office and GO..au unamute kusikilizia..Matokea yake pesa inapungua kwenye Mzunguko
 
Informed inputs to which I concur with you. Another area that must be viewed with strong lensed spectacles is fair play ground which lacking. There's state backed companies can compete fairly with private funded companies and you expect the latter to survive. Mwalimu had once equated this with putting feather weight and the likes of Tyson, Lewis et al.. in the same ring and the result would undoubtedly be murder.

Kwa hiyo watu wasiamgalie kuyumba ka makampuni ya biashara na kupiga dili tu na kukwepa kodi. La hasha kuna mambo mengi. Na kuna linkages na wafanyabishara ndogondogo kama madreva, mama ntilie, walima bustani za mchicha na wengine ambao kuyumba kwa makampuni makubwa na kuamua kufanya restructuring/ down sizing/ take overs wameathrika in terms of trading leading low purchasing power
 
Kwa suala la kodi acha tu walipe kodi halali waache magumashi..biashara nyingi zilishamiri kwa madili na ukwepaji mkubwa wa kodi ya serikali..acha akaze tujue wanaofanya biashara kihalali na ambao walikuwa wanapiga dili chafu... Unakuta mfanyakazi kabla hujapata hat pay check yako wameshachukua kodi yao mapema, hawa wafanyabiashara walikwepa mno wakati mapato yao ni maradufu ya wafanyakazi..tena natamani wigo uongezwe hata kwa wenye nyumba za kupangisha walipe kodi
 
= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Hujuwi=Hujui
Kuwacha=kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…