Makamba Vs Tambwe Hiza nani mkali wa Pumba?

wote wana pumba maana wako ccm, wakijiunga chadema watajifunza kuongea pointi.pale ccm mfumo hauwaruhusu kuongea ukweli,au kuna mtu pale lumumba anaongea ukweli??!hakuna.wote ni pumba tu..elimu ya makamba ni ndogo sana hivyo hana uwezo wa kuchambua mambo..tumuhurumie tu jamani, tambwe hana uwezo tena wa kuchambua mambo maana alishahama vyama zaidi ya 10..amekosa ubunge mara mia..amechanganyikiwa lol!! ana psychological traumatization.. WOTE NGOMA PATURO (DROO)
 
Makamba ni zaidi anatukana Viongozi wa Dini, badala ya kuomba msamaha na kukaa kimya bado anaendelea kuongea kwenye vyombo vy habari. Ni bora aache kutumia vitabu vitakatifu vya dini sababu ana uelewa finyu wa vitabu hivyo.
 

Attachments

  • comp1.jpg
    comp1.jpg
    16.2 KB · Views: 42
Duh?halafu wote kumbe kabila moja?wanawaaibisha wagosi bana mi niwajuavyo hawako ivyo.
 
Tambwe Hiza ni sawa na Al Sahaf msemaji wa Sadam anayepinga marekani haijaingia Bagdad wakati bomu linalipuka mgongoni kwake
 
Mi naona Tambwe amezidi ukilinganisha na umri wake. Akifikia umri wa Makamba pamoja na kuzeeka vibaya pumba zake zitakuwa zinavunja rekodi ya mtu yeyote aliyetangulia!!
 
Ni wakati mwafaka kwa Makamba kustaafu na nafasi yake ichukuliwe na kijana asiye na kashfa kama NAPE NNAUYE kama kweli uongozi wa juu wa CCM unataka kurudisha imani ya wananchi kwa chama tawala. Vinginevyo hali inavyoendelea 2015 inawezekana "state of emergence" ikatangazwa ili uchaguzi usifanyike kwa woga wa kushindwa vibaya. Kila kukicha badala ya CCM kuimarika kwa kukubalika zaidi ukizingatia wao ndio wenye serikali na hivyo kupanga kila kitu hali inazidi kuwa tofauti na inachangiwa na midomo ya viongozi kwa kutoa kauli bila kupima. Nadhani aliyeimba "maneno yakishatoka hayarudi mdomoni" alikuwa na maana kubwa zaidi ya kuburudisha washabiki wake.
 
Inawezakana kale katoto ambako Makamba alikazaa kwa kumpa mimba mwananfunzi kigoma hata akafukuzwa ualimu kakawa ndiyo Tambwe, jina la Hiza ametumia la mjomba wake tu maana makamba alimkataa, ila kiukweli huwa anaitwa Tambwe Makamba
Kama uko karibu na Ridhiwani muulize au muulize sheikh yahaya maana ndiye aliyewasuluhisha Makamba na mtoto wake Tambwe
 
Makamba ka pumba..nampa asilimia 1000% ni muongea pumba kuliko wananchi woote Tanzania hii.
 
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijaribu kuwafuatilia viongozi hawa wa CCM, Yusuph Makamba (Katibu) na Tambwe Hiza wa Kitengo cha Umbea. Nilichogundua ni kwamba wote wanafanana sana kwa kiasi kikubwa kwani wote ni:-

1. Wote ni wanafiki wakubwa
2. Wote hawana point ni waropokaji tu a.k.a Hamnazo ( Midomo yao huwa haina
ushirikiano na Akili zao wakati wanaongea)
3. Wote ni watu wa kujipendekeza tu kwa Mafisadi
4. .....
5. ....
Kwa tabia hizo chache na nyingine mnazozifahamu ni nani mkali zaidi wa mwenzie kwa pumba, unafiki, kuropoka, n.k ?

Mmmhhh, kwa jinsi wanavyoropoka napata shida hata kujua nani kinywa chake kinanuka zaidi. Lakini makamba anaonekana kuwa kinara zaidi.
 
Ni vema kama kweli wana CCM wanasikia ni vema wakawaondoa watu hawa mapema kabla ya 2015. Sifikiri wanaweza kujirekebisha mmoja alimwajiri mwenzake na hawana upeo wa siasa za kisasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom