Mchuano wa 2030 ni Mwigulu vs Makamba

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,830
2,417
Tukiondoa nguvu ya wazee wakina Pinda, Kinana, Makamba senior, Kikwete, Wassira, Mangula na wengineo kwenye Chama changu cha Ccm basi, generation ya vijana ambao baadae wanakuja kushika nguvu ya chama ni Mwigulu na Makamba junior.

Hivyo mchuano wa 2030 utakuwa mkali sana kati ya hao wawili maana kufikia wakati huo watakuwa na mizizi mikubwa kwenye chama na watakuwa backup za kutosha huko nyuma ya mbio zao.

Ingawa tukija kwenye suala la nani ataibuka kidedea,karata yangu naiweka kwa Mwigulu sababu ya Dini na naona anavyopanga mashambulizi yake mapema kabla ya mtanange kuanza.

Pia kwa watumiaji wazuri wa twitter mtajua vita ya wawili hawa ikoje kuitafuta 2030, kwasababu kila mmoja ana watu wake kula wanajaribu kumpigania. Mfano sakata la dollar kupotea na umeme kupanda bei kila wizara kulikuwa na upande unaowatupia wengine lawama basi twitter ilipamba moto, wengine sisi tulikaa pembeni tukiangalia mtanange.

Mtaniuliza vipi kuhusu Sukuma gang kurudi ulingoni, hilo nahitaji niwaambie tu ukweli kuna CCM asilia na CCM wajaji sasa asaivi chama kiko kwa Asilia na hawatarudia tena lile kosa la 2015 labda itokee dhoruba itakayoondoa kizazi chote hiki, Gang hawaji kuinuka tena habadani.

Mshauri wa masuala ya ndani sana.

Kuna siku mtanielewa tu.

images%20(4)%20(1).jpg
 
Tukiondoa nguvu ya wazee wakina Pinda,Kinana,Makamba senior,Kikwete,Wassira, Mangula na wengineo kwenye Chama changu cha Ccm basi,generation ya vijana ambao baadae wanakuja kushika nguvu ya chama ni Mwigulu na Makamba junior.

Hivyo mchuano wa 2030 utakuwa mkali sana kati ya hao wawili maana kufikia wakati huo watakuwa na mizizi mikubwa kwenye chama na watakuwa backup za kutosha huko nyuma ya mbio zao.

Ingawa tukija kwenye suala la nani ataibuka kidedea,karata yangu naiweka kwa Mwigulu sababu ya Dini na naona anavyopanga mashambulizi yake mapema kabla ya mtanange kuanza.

Pia kwa watumiaji wazuri wa twitter mtajua vita ya wawili hawa ikoje kuitafuta 2030,kwasababu kila mmoja ana watu wake kula wanajaribu kumpigania..mfano sakata la dollar kupotea na umeme kupanda bei kila wizara kulikuwa na upande unaowatupia wengine lawama basi twitter ilipamba moto,wengine sisi tulikaa pembeni tukiangalia mtanange.

Mtaniuliza vipi kuhusu Sukuma gang kurudi ulingoni,hilo nahitaji niwaambie tu ukweli kuna Ccm asilia na Ccm wajaji sasa asaivi chama kiko kwa Asilia na hawatarudia tena lile kosa la 2015 labda itokee dhoruba itakayoondoa kizazi chote hiki, Gang hawaji kuinuka tena habadani.

Mshauri wa masuala ya ndani sana.

Kuna siku mtanielewa tuView attachment 2729749
Ni zamu ya mkatoliki, usiniulize kwa nini na atakua nani, ila we elewa hivyo....save hii comment muda ukifika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mama apewe nafasi apumzike hata hiyo2025 asigombee.
Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Unajua uwezo wa akili kati ya mwanamke na mwanaume unatofautiana sana kadri umri unavyoongezeka. Mwanamke akizeeka ni rahisi zaidi kushindwa kukumbuka baadhi ya mambo na pia kufanya maamuzi kwa haraka na kwa usahihi.

Ukitaka kupata ukweli wa hili fanya utafiti kama una wazee nyumbani babu na bibi kisha uone tofauti zao.

Kuna wakati wabibi huwa wanasahau hata majina ya watoto/wajukuu wao.
Hebu tumuache huyu mama apumzike jamani. 60+yrs si lelemama!
Nchi ni yetu sote!
 
Tozo boy dini ilikuwa kigezo cha kumpa nafas shida ni moja Tu Tozo ni mlutheri wakati huku ili uwe Prezidaa inabidi uwe mla kitimoto hivo hiyo kete itamchoa atakuja mmoja msiyemtegemea kabisa
Ndio hivyo, kuna options mbili either uwe mvaa kobazi au RC, sasa zamu ya kobazi inaishia 2030 anaingia RC then mvaa kobazi, cycle itaendelea hivyo kwa miaka mingi sana.

Usiniulize kwanini. Watakao kuwa hai utaona hivi hivi nnavyo post uzuri muda haudanganyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa tukija kwenye suala la nani ataibuka kidedea,karata yangu naiweka kwa Mwigulu sababu ya Dini na naona anavyopanga mashambulizi yake mapema kabla ya mtanange kuanza.
Mkuu utukufu mwanjisi, kwa huyu, nakuunga mkono, Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
Swali ni moja tuu, jee ni Mkatoliki?.
Swali la pili lazima afafanue vizuri hii issue Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli

Hivyo he can make a good president, but if the best is what we need, then JM is the best!, January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
P
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom