Mnyika bana wakati mwengine akili yake sijui inakwenda likizo.
Wewe!! Mimi namsapoti Mnyika. Ni lazima watu tuwajibike kwa maneno na matendo yetu. Kumbuka habari ya vipindi vya bunge kutorushwa live... Nadhani akili yako ndo ipo likizo.
Mnyika bana wakati mwengine akili yake sijui inakwenda likizo.
Mnyika bana wakati mwengine akili yake sijui inakwenda likizo.
kwani kuna ubaya gani akiweka hiyo nambayake ya simu? huyo naye makamba anatafuta umaarufu kilazima au anataka kuwania urais 2015? aseme sio kujishaua tu hapo
Asante sana.
lakini tuelewe kuwa J. Makamba ni Waziri hivyo ni kiongozi wa serikali katika Wizara husika .a siyo mfanyakazi wa serikali kama nilivyo mimi ambaye ni mtumishi mdogo sana sina mamlaka ya kuhoji au kushirikishwa.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Unathibitisha tu usakala wako coz' kutokana na usakala a.k.a umburura wako kukuzidi kiwango bado unaamini kuna chama cha siasa kitakachokuondolea matatizo yako!! Siiamini CCM wala CHADEMA, and in fact, siamini chama chochote cha siasa.....wewe unayeamini katika vyama vya siasa na wanasiasa uchwara ndie haswaaaa, uliyeshikiwa akili .....na kila siku utaendelea kuwa kwenye maumuvimkuu kujua kiakili niko sawa kuliko wewe mbururaa ni kwanza kuikataa ccm na mijitu yake yote na kuona kweli wewe ndiye uliyeshikiwa akili ni kutokwa na mapovu kwa ajili ya lichama linalo tunyonya kwa style mbali mbali. uenda wewe unanufaika kinamna fulani na mfumo uliopo kwa umburura wako hujui bibi yako kule sitimbi ndani ya miaka hamsini ya uhuru hajui bomba la maji wala hospitali barabara ni issue kubwa kama wewe sio mburura ni nini hata hili dogo la kuikataa ccm na watu wake wote ulioni? nani kashikiwa akili mimi au wewe
Sasa anaweka number ya Ndg Januari, yeye ndie awajibishwe kwa kosa la kamati ya budget? angeweka number ya mwenyekiti na members wa hii kamati, au angeweka numbers ya wabunge walio pitisha.Wewe!! Mimi namsapoti Mnyika. Ni lazima watu tuwajibike kwa maneno na matendo yetu. Kumbuka habari ya vipindi vya bunge kutorushwa live... Nadhani akili yako ndo ipo likizo.
Wakuu, fikiria mtu kama mama Tibaijuka angetoa namba yake angeandikiwa hizo jumbe? mbona tukonae hapa na tunamuheshimu tuu? Tatizo ni utendaji kazi na maamuzi ya mtu huwa yanaBase wapi! Hilo ndilo tatizo, kwahiyo Makamba ilibidi ajitafakari utendaji wake na si kumlaumu Mnyika! Mbona watu kibao namba zao tunazo na hamna tatizo, Nikisema toeni namba ya mama prof Tibaijuka, sidhani kama atalaumu kama anavyolaumu Makamba, Bwana Mdogo Mh Makamba Jitafakari what you are doing! Misimamo yako ikoje nk.
Kuna watu humu zikitolewa namba zao itakuwa ni kizaa zaa, mfano Lukuvi, Wasira, Ndugai, Makinda and the likes, kwanini? Ni kwasababu majority hawaridhiki na utendaji wao! Ukiona hivyo jirekebishe ili badala ya kuwa boued ushangiliwe, tafakali nyendo zenu!
Mnyika bana wakati mwengine akili yake sijui inakwenda likizo.
John Mnyika kaweka namba yangu ya simu ya mkononi ili watu wanipigie na kutukana. Nadhani ni siasa isiyo ya kistaarabu. Hadi sasa nimepata messages zaidi ya 600. Sio sahihi kabisa.
Anahofu na sms tu je siku watu wote hao wakiweka foleni mbele ya ofisi yake kudai na kupasa sauti yao atasema nini?
.Wabunge WOTE tulishindwa kupitisha maamuzi yenye maslahi kwa mtu wa kipato cha chini. Harakati za mitandaoni haziondoi ukweli huo
Naona Naibu Waziri hajitambui. Aseme wazi Wabunge wa Chama Chake CCM ndiyo waliopitisha hii kitu. Lakini kauli ya Siasa za mitandaoni inatoka wapi wakati na yeye anafanya siasa kupitia mfumo huo.
Labda Mhe.Makamba atujuzu lini chama chake CCM imeacha sera yake ya Masilahi ya Chama Kwanza ?
mnyika ana upunguani. ugaidi unamsumbua. damu ya mtu haiwezi kumwagika bure kisha isimuathiri alie imwaga. chdm ni chama cha kigaidi. full stop!
He's an idiot.
mkuu wewe umepwelewa tu chadema wanatukana kila mtu ambaye hayupo kwenye chama chao hawana usarabu hata kidogo kwani nani ambaye hawajawahi kumtungana hapa nchini wametukana vyombo vya dola vyote,
Sasa anaweka number ya Ndg Januari, yeye ndie awajibishwe kwa kosa la kamati ya budget? angeweka number ya mwenyekiti na members wa hii kamati, au angeweka numbers ya wabunge walio pitisha.
Hapa ndipo watanzania Tunapo kosea.
Lazima tutofautishe Serikali ya Tanzania na chama tawala ambayo ni CCM.
CCM kama chama inapinga vikali kodi hii na imeweka tamko lao wazi kabisa
Pinda ameongea kama waziri mkuu, ana inist kodi hii sio mbaya, ni bora iwepo
Ila sababu CCM ni chama chenye demokrasia ndani yake, kima mwanachama
anaruhusiwa kutoa maoni yake tofauti, na kuya tetea anapo yapendekeza.
Sio lazima CCM iwe na mtazamo mmoja na serikali or vice versa, ni taasisi tofauti.
Kinacho sikitisha ni kuona Ndg Makamba (mfanya kazi wa Serikali) na Ndg Pinda (kiongozi wa serikali) wanatofautiana. inaonesha kodi hii haikujadiliwa vizuri, na wizara ya finance haikuwasikiliza wataalam wa wizara ya communication kuhusu kodi hii kabla ya kupendekeza muswada. Maybe hapa ndipo unapoona tofauti kati ya mfanya kazi wa serikali alie chaguliwa na wananchi na yule ambae hakuchaguliwa. (cc: Kiranga)