Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

Mnyika bana wakati mwengine akili yake sijui inakwenda likizo.
Wakuu, fikiria mtu kama mama Tibaijuka angetoa namba yake angeandikiwa hizo jumbe? mbona tukonae hapa na tunamuheshimu tuu? Tatizo ni utendaji kazi na maamuzi ya mtu huwa yanaBase wapi! Hilo ndilo tatizo, kwahiyo Makamba ilibidi ajitafakari utendaji wake na si kumlaumu Mnyika! Mbona watu kibao namba zao tunazo na hamna tatizo, Nikisema toeni namba ya mama prof Tibaijuka, sidhani kama atalaumu kama anavyolaumu Makamba, Bwana Mdogo Mh Makamba Jitafakari what you are doing! Misimamo yako ikoje nk.

Kuna watu humu zikitolewa namba zao itakuwa ni kizaa zaa, mfano Lukuvi, Wasira, Ndugai, Makinda and the likes, kwanini? Ni kwasababu majority hawaridhiki na utendaji wao! Ukiona hivyo jirekebishe ili badala ya kuwa boued ushangiliwe, tafakali nyendo zenu!
 
mnyika go on shit those stupidity arguements upon you
 
Na nyie one day mtuwekee ya Mbowe ama ya slaa uone kama watatukanwa wanatukanwa na kuwaandikia sms zinazowakela hadi Dada zao kwa sababu ya maamuzi yao mabovu kwani wakati Baraza la Mawazili wanapitisha walikuwa wanasubili hadi wabunge wakatae?Tena mlikuwa mmepitisha buku jero yani mtakufa vibaya shauli yenu.
 
kwani kunakipindi mnyika akili yake inakuwa kama ya nani au kunamda anakuwa mtoto au mzee vitu anavyofanya haviendani na mtu anayeitwa mbunge.
 
Wakuu, fikiria mtu kama mama Tibaijuka angetoa namba yake angeandikiwa hizo jumbe? mbona tukonae hapa na tunamuheshimu tuu? Tatizo ni utendaji kazi na maamuzi ya mtu huwa yanaBase wapi! Hilo ndilo tatizo, kwahiyo Makamba ilibidi ajitafakari utendaji wake na si kumlaumu Mnyika! Mbona watu kibao namba zao tunazo na hamna tatizo, Nikisema toeni namba ya mama prof Tibaijuka, sidhani kama atalaumu kama anavyolaumu Makamba, Bwana Mdogo Mh Makamba Jitafakari what you are doing! Misimamo yako ikoje nk.

Kuna watu humu zikitolewa namba zao itakuwa ni kizaa zaa, mfano Lukuvi, Wasira, Ndugai, Makinda and the likes, kwanini? Ni kwasababu majority hawaridhiki na utendaji wao! Ukiona hivyo jirekebishe ili badala ya kuwa boued ushangiliwe, tafakali nyendo zenu!

mkuu wewe umepwelewa tu chadema wanatukana kila mtu ambaye hayupo kwenye chama chao hawana usarabu hata kidogo kwani nani ambaye hawajawahi kumtungana hapa nchini wametukana vyombo vya dola vyote,
 
Sioni kosa la Mnyika,kama unafanya kazi yako kifanisi tegemea pongezi,sasa kwa hili alitegemea tumpongeze alafu hivi bungeni ni sehemu ya majaribia,we unajua kabisa hili jambo sio zuri lakini unalipeleka bungeni uone kama litapita,hapo tukubalieni kuna maslai yanatafutwa,pili kwa wingi wa ccm bungeni automatic J.Makamba alijua tu ni kibaya lakini kitapita...bwana mdogo kubali tu umelikoroga
 
kunawakati mnyika sijui anavuta huwa simwelewi kunasiku anaropoka utadhani amekatwa kichwa kwamba anatumia miguu kuongea.
 
mkuu wewe umepwelewa tu chadema wanatukana kila mtu ambaye hayupo kwenye chama chao hawana usarabu hata kidogo kwani nani ambaye hawajawahi kumtungana hapa nchini wametukana vyombo vya dola vyote,
Huwezi tukanwa kama unafanya kazi kwa weledi, nime reffer mtu hapo, toeni namba yake kama watamtusi, Ukiona wanakutusi jirekebishe usimlaumu mtu, wakati mwingina anakuokoa!
 
Sioni kosa la Mnyika,kama unafanya kazi yako kifanisi tegemea pongezi,sasa kwa hili alitegemea tumpongeze alafu hivi bungeni ni sehemu ya majaribia,we unajua kabisa hili jambo sio zuri lakini unalipeleka bungeni uone kama litapita,hapo tukubalieni kuna maslai yanatafutwa,pili kwa wingi wa ccm bungeni automatic J.Makamba alijua tu ni kibaya lakini kitapita...bwana mdogo kubali tu umelikoroga

mkuu huna kumbukumbu kwani makamba ndiye alipendekeza hiyo tozo?,kwa nini usiulize ukaambiwa ili upanua marifa.
 
mkuu wewe umepwelewa tu chadema wanatukana kila mtu ambaye hayupo kwenye chama chao hawana usarabu hata kidogo kwani nani ambaye hawajawahi kumtungana hapa nchini wametukana vyombo vya dola vyote,
Ume-quote ili umjibu swali sio una-genaralize jibu swali Tibaijuka ashawahi tukanwa
 
Huwezi tukanwa kama unafanya kazi kwa weledi, nime reffer mtu hapo, toeni namba yake kama watamtusi, Ukiona wanakutusi jirekebishe usimlaumu mtu, wakati mwingina anakuokoa!

mbona hata mama tibaijuka wakati anafafanua hapa jf kuhusu maswara ya kigamboni kuna watu bado walimkejeli na kumtusi vilevile.
 
kwani kuna ubaya gani akiweka hiyo nambayake ya simu? huyo naye makamba anatafuta umaarufu kilazima au anataka kuwania urais 2015? aseme sio kujishaua tu hapo
 
Huyu dogo ni mwongo kama Baba yake, amepata message 600 kama Mhe.Job Ndugai si azipeleke polisi maana sisi hatukuona sehemu Mhe.Mnyika anasema mtukaneni Makamba Jr.Huo ni uoga wa kizee na sisi tunaamini kipara si hoja hivyo ajikaze tu.Isitoshe kama mimi namba yake nilikuwa nayo hata kabla ya Kamanda Mnyika kuiweka hadharani. Kijana anayelalama hata kwa vitu vidogo na vinavyoeleweka kama hivi eti ana ndoto ya kuwa Rais, labda wa bendi ya Extra Bongo
 
Komaa January; hizo ndio adha za kuwa "Public good"; by the way mbona hatujawahi kumsikia Said Mwema na makamanda wake nchi nzima wakilalamika?!
 
Wakuu, fikiria mtu kama mama Tibaijuka angetoa namba yake angeandikiwa hizo jumbe? mbona tukonae hapa na tunamuheshimu tuu? Tatizo ni utendaji kazi !

Kama ni rahisi hivyo mbona wengi wetu humu hatutaki kujulikana?

Basi anza wewe kwa kuweka namba zako za simu halafu utaona. Au mama Tibaijuka aweke namba hapa halafu uone balaa siku ya pili hiyo chip ninahakika ataitupa!
 
January makamba alianza vizuri sana, lakini kadiri muda unavyokwenda anazidi kuharibika! Binafsi sijaona kosa la mnyika, ukiwa kiongozi wa umma uwe wazi hata kwa mawasiliano yako, makamba ilibidi kama naibu waziri atoe prioty kwa kuwatetea wanyonge na si kutegemea mibunge yake ya ccm!
 

“Mlioniuliza kwa SMS katika simu na kwenye mitandao ya kijamii sasa ni wakati wa Makamba kuhojiwa kwa njia hizo hizo (Simu yake ya Mkononi ni ……..) kwa kuwa yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndiyo ambayo iliingiza suala hili kwa mara ya kwanza ndani ya ukumbi wa Bunge kupitia hotuba ya Bajeti Serikali.”aliandika Mnyika katika taarifa yake.
sioni kama hapa kuna sehemu ambapo Mh. Mnyika alimuelekeza mtu yeyote amtukane naibu waziri!
Na je, unataka uwe waziri asiyeulizwa na unaowaongoza!? ...au kwa kuwa hakuchaguliwa na wananchi bali alipitishwa!
 
Back
Top Bottom