Huyo Makamba aache kujitetea kwa ujinga. Namba yake ya simu sio siri, sehemu mbalimbali ame-expose watu waione au kumpigia wanapomuhitaji.
Ni Kikwete aliwahi kuagiza kila mtendaji wa serikali yake ni sharti atoe namba yake simu ili wananchi wakiwa na kero zao wawasiliane.
Ni Kikwete aliwahi kuagiza kila mtendaji wa serikali yake ni sharti atoe namba yake simu ili wananchi wakiwa na kero zao wawasiliane.

![WAGONJWA_ZAHANATI_KISAKI[1]_.JPG WAGONJWA_ZAHANATI_KISAKI[1]_.JPG](https://www.jamiiforums.com/data/attachments/3174/3174130-ac89ee776e08dfc2982cc93098f3b28c.jpg?hash=rInud24I38)