ninaisupport hii initiative kukiwekewa hiyo mipaka ya big win now ( whatever that is ) ila tuweze kuona ikifanya kazi, hospitalini, umeme,shule na miundombinu
Kwa chama kilichopo madarakani, usitegemee hayo.
ninaisupport hii initiative kukiwekewa hiyo mipaka ya big win now ( whatever that is ) ila tuweze kuona ikifanya kazi, hospitalini, umeme,shule na miundombinu
Mnyika anapenda sifa za kizamani sana ndio maana alichemka chuo kijana mzima hana degree
watu kama nyinyi ndio mazuzu wa mwisho kabisa, yaani hii maandishi yako mtu akisoma tu anaidharau elimu ya Tanzania! Unashangaa mtu kutokuwa na degree! Nani kawambia degree ni kila kitu kwenye maisha? Wenzako wenye digrii si ndio kila kukicha wanasainishwa mikataba ambayo hata mwenye Std7 angegoma! Wenye degree si ndio wanakufanya wewe ulipe gharama kubwa za umeme bongo? Wenye digrii si ndio wameruhusu Dowansi! Na ndio haohao wenye degree wliompasua mtu kichwa badarla goti Muhimbili? Ni nini DEGREE? Hizi za Mlimani? Acha Uboya wewe! Kwa taarifa yako wenye digrii ndio walioichelewesha sana Tanzania hii! Digrii zenu hata Kenya mnakosa kazi! Mburula mkubwa wewe!Mnyika anapenda sifa za kizamani sana ndio maana alichemka chuo kijana mzima hana degree
Mnafiki ni mnyika,yeye ni sehemu ya bunge lililopitisha hoja hii kama hakupenda wananchi tuumizwe mbona hakuipigia kelele kabla au baada ya wananchi kugundua kwamba wabunge wote wapo kwa maslai yao.
Siku zote anadandia hoja ili asikike lakini hiki kijamaa ni kijinga kweli,hadi sasa kero alizoahidi zitakwisha bado tunateseka na bei ya maji inazidi kupanda au kwa kuwa wanaotuuzia maji dumu 2000 ni ndugu zako
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
umeandika waraka mreefu halafu hunapoint nakushauri usome tena majibu ya Mnyika. yeye alishatoa hilo bungeni lkn kwa sbb ninyi ccm hamkubali mawazo ya wapinzani hususani cdm basi mnaongeaongea tu ila mradi mmeongea. makamba hawezi kujitoa hapao kwa sbb yeye ndiye ni naibu waziri na ndiye aliyeleta hii kitu bungeni kama angekuwa haitaki basi asingeileta angeshauri iachwe hukohuko. amkeni kifikra ccm!
mkuu kujua kiakili niko sawa kuliko wewe mbururaa ni kwanza kuikataa ccm na mijitu yake yote na kuona kweli wewe ndiye uliyeshikiwa akili ni kutokwa na mapovu kwa ajili ya lichama linalo tunyonya kwa style mbali mbali. uenda wewe unanufaika kinamna fulani na mfumo uliopo kwa umburura wako hujui bibi yako kule sitimbi ndani ya miaka hamsini ya uhuru hajui bomba la maji wala hospitali barabara ni issue kubwa kama wewe sio mburura ni nini hata hili dogo la kuikataa ccm na watu wake wote ulioni? nani kashikiwa akili mimi au weweMburura ni wewe unaeshikiwa akili na wenzako....na utaendelea kushikiwa akili hivyo huku mwenyewe ukijidhani kwamba ndo muelewa kumbe ni sakala tu...