Elections 2010 Makamba kapata saizi yake

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Makamba: Shibuda sawa na ganda la mua la jana hana mvuto kisiasa asema CHADEMA wamevuna makapi akimaanisha Shibuda.

Shibuda: Makamba ni sawa na gunia tupu, sawa na puto lenye hewa za kueleaelea, ubabe wa dhamana, lakini uongozi wake hauna nguvu za hoja bali ni za ubabe.

Aiseeeee ngoma imepata wachezaji tutasikia methali za kila aina.

images
images
 
Ni makosa na au kutojua au vyote viwili kufananisha makombo na shibuda.tofauti ni kuwa makamba hufikiri baada ya kuongea,wakati shibuda huongea baada ya kufikiria.
 
Nashauri Chadema wamwachie Shibuda awe anamjibu Makamba na Prof. Baregu wapambane kwa hoja na Kinana ni hatari lakini salama.
 
aaaaaaaaah.........huyu makamba naye...porojo tuuuuuu ananiboa sana
 
ni aibu kwa watoto kuwa na baba kama Makamba:becky::becky:
Only bastards can do that...[kaka/dada] unajuwa kama unakosea watoto wa watu heshima...mzee ni mzee hata kama ni mwendawazimu...haya tuongee siasa tu hapa....mi Makamba ananikera kwa kuwa si mwanasiasa ni kama MC vile!
 
Uwezi kumfananisha Shibuda na Makamba,nisawa nakufananisha gari na baiskeli.Sijui Makamba uwa anafikiria nini ana haibu ata kidogo,Makamba ayupo kwa masilai ya Taifa kabisa yupo pale kwa masilai yakina RA.:confused2:
 
ni aibu kwa watoto kuwa na baba kama Makamba:becky::becky:

mbaya hajijui kama haujuia kitu, ni sawa na bubu yeye wakati wote ni mkali maana anahisi kuonewa
sasa makamba anajaribu kuonekana naye yumo kwenye list ya watu muhimu kwenye jamii,
but still nothing, thamani yake ya kuelewa ni ndogo kupita kiasi
 
Sioni kama hawa watu hao wawili wako serious na matamshi yao,wana urafiki wa kisiasa na uadui wa kisiasa.
 
Mama tatizo ni kwamba mtoto hana uwezo wa kuchagua baba. Baba atabaki kuwa ni baba yako yu hata kama ni mropokaji kama Makamba
Umekosea kidogo mtoto anaweza kuchagua baba lakini hawezi kuchagua mama.
 
Ni makosa na au kutojua au vyote viwili kufananisha makombo na shibuda.tofauti ni kuwa makamba hufikiri baada ya kuongea,wakati shibuda huongea baada ya kufikiria.

Yaani wewe nod gunia zaidi ya makamba
 
hahahaha hahahaha
guyz nakeshea DAKU na connections za bure ili nisome na kuchangia hapa

Kwa kweli Makamba ni another history ktk nchi hii, Hatujawahi kupata kiongozi wa aina hii since uhuru na atabakia hivyo milele. yaani kuwa na kiongozi JUHA kama huyu ni historia tosha.
View attachment 13217
Yaani KICHWA NAZI
 
Leave the kids alone...Wengine baba zenu wezi/walevi/wabakaji/wamewatelekeza lakini leo mambo yenu ni mazuri tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom