mbona watu hawampigii kelele Husein Mwinyi ama Nape Nnauye?,
Alhaji Ally Hassan Mwinyi amestaafu na yuko kimya katika masuala ya siasa. Muheshimiwa Yusufu Makamba ni katibu mkuu wa CCM hivyo amekuwa akisikika mara kwa mara katika hili na lile.
kitu ninachosema ni kwamba si vyema kumjaji January tokana na matendo ama kauli za Baba yake bali ni hekima kumjaji January kama January.
Asante.