Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

Kikwete atakuwa anaipeleka nchi pabaya sana kama atafanya hivyo...anahitji watu wazoefu na wenye akili timamu kwenye baraza lake..... Ni wazi atazidi kuifanya ccm inuke kwa kumchagua huyo mtoto wa mlopokaji kuwa waziri wa chochote....

Awe makini sana jamaa ufahamu wake bado ni wa maziwa ya mama...lol

tafakari chukua hatua
 
Wana JF,

Sometimes ni vyema kuwa wakweli hasa katika mambo yanayoikabili nchi yetu, na bila shaka hilo ndilo lengo la JF.

Huyu Kijana (January Makamba) naona hamumtendei haki. January hawezi kulaumiwa kwa mambo yaliyotendwa ama kutamkwa na Baba yake. January kama mtanzania ana haki zote za msingi kugombea nafasi za uongozi ambazo ana amini kwamba anaziweza.

Katika CCM ya sasa January ni kichwa kinachoweza kuchanganua mambo kwa ufasaha zaidi. Huyu ni asset nzuri sana kwa nchi kama alivyo Zitto Kabwe.

Kuna mtu amedai kwamba January ni Fisadi, ingekuwa hekima zaidi ungekuja na ushaidi wa kudhibitisha madai hayo.

Asanteni.
 
Kwa haraka haraka mfano mmoja muuulize Mr 11 a.k.a Sugu alivyofanyiwa na January kwenye mradi wa Malaria, Kuhusu kuwa waziri hilo halina ubishi kwani analandana kwa tabia na Masha na sitoshangaa akipewa wizara ile ile kufanikisha mradi wa vitambulisho vya kitaifa ambao una utajiri wa kufa mtu pale utakapokamilika
 
I know JK may be stupid but not stupid enough to give January any ministry. Well, wonders shall never end! Sitashangaa anyway!
 
Wana JF,

Sometimes ni vyema kuwa wakweli hasa katika mambo yanayoikabili nchi yetu, na bila shaka hilo ndilo lengo la JF.

Huyu Kijana (January Makamba) naona hamumtendei haki. January hawezi kulaumiwa kwa mambo yaliyotendwa ama kutamkwa na Baba yake. January kama mtanzania ana haki zote za msingi kugombea nafasi za uongozi ambazo ana amini kwamba anaziweza.

Katika CCM ya sasa January ni kichwa kinachoweza kuchanganua mambo kwa ufasaha zaidi. Huyu ni asset nzuri sana kwa nchi kama alivyo Zitto Kabwe.

Kuna mtu amedai kwamba January ni Fisadi, ingekuwa hekima zaidi ungekuja na ushaidi wa kudhibitisha madai hayo.

Asanteni.
mbona watu hawampigii kelele Husein Mwinyi ama Nape Nnauye?,
 
kuna cha kushangaa hapo.. hivi mnategemea lolote jipya katika baraza la mawaziri.. utashangaa utapowakuta hawa kwenye baraza la mawaziri:

  1. M. Mahanga
  2. J. Makamba
  3. Serukamba
  4. R. Mlaki (mbunge viti maalum)
  5. Kapuya (kafanya nini katika wizara alizoshika)
  6. Mwakyusa
  7. Kawambwa
sitashangaa pia, kama atamtosa Dr. Maagufuli (huyu naomba ndo alikuwa kinara baraza lililopita).
 
we wa kidatu umeme umekutetemesha mbaka akili zimekutoka
 
la muhimu hapa ni katiba kurekebishwa Kwa katiba iliyopo pamoja na sheria zote za uchaguzi Pinda ni mbunge wa kuchaguliwa Hilo huwezi kupinga kwa wakati uliopo
 
I know JK may be stupid but not stupid enough to give January any ministry. Well, wonders shall never end! Sitashangaa anyway!

Jakaya anajua kuwa ni mgonjwa na ndio maana anajaribu kila awezalo kumuweka mtoto wake kwenye limelight [RIdhwani] ili hapo litakapomfika huyu mwanae aweze kuilinda familia yake; sasa hawa wakina January nao anawakuza ili waweze kumsaidia Ridhwani [ kwani uwezo wake ni mdogo] katika usultani wanaotaka kuusimika!! But the writing is on the wall, he should tread carefully because Tanzanians have shown him that he cannot take them for granted!!
 
kuna cha kushangaa hapo.. hivi mnategemea lolote jipya katika baraza la mawaziri.. utashangaa utapowakuta hawa kwenye baraza la mawaziri:

  1. M. Mahanga
  2. J. Makamba
  3. Serukamba
  4. R. Mlaki (mbunge viti maalum)
  5. Kapuya (kafanya nini katika wizara alizoshika)
  6. Mwakyusa
  7. Kawambwa

sitashangaa pia, kama atamtosa Dr. Maagufuli (huyu naomba ndo alikuwa kinara baraza lililopita).

Mtu kama Kawambwa kusema kweli anapewa uwaziri kwa sababu ya undugu tu kwani ameonesha kuwa hana uwezo ; na baya zaidi itakuwa kumrudisha kwenye wizara ya miundombinu kwani hii ni wizara critical kwa maendeleo ya nchi ,hivyo inahitaji mtu makini na mwenye uzoefu. Unfortunately ,waziri na katibu mkuu wa wizara hii wote walikuwa sio watendaji na wizara hii ilianza kuyumba mara tu Dr. Bukuku alipopelekwa BOT!! Kumrudisha huyu bwana kwenye wizara hii itasaidia sana kuhakikisha mipango ya wizara ikiwemo hiyo alioahidi Rais huko Bagamoyo inafanikiwa; Jakaya undugu apart huyu Kawambwa kumrudisha hapo atakuangusha!!
 
Ukishangaa ya Musa utaona ya filauni. Guys let us focus our effort on new Constitution otherwise hizi ni kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala since katiba inampa uhuru wa kufanya chochote unquestioned
 
Ama kweli hapo umenena. Hata mie niliiona hiyo claim ktk threads kadhaa zilizopita, ila nadhani hili litaweza kwenda mbali na kukumba wengi zaidi ya January!
Natabiri hawa jamaa waliofanya fraud na rigging ya matokeo ya uchaguzi wetu, natabiri wanaweza watawekwa ktk target hiyo hiyo kama mh Dr Slaa atawalipua wote waliohusika, kama kweli kesho 'ataongea na taifa'. Tumsubirie!

Taifa gani?

Mwacheni Dr Slaa ajikung'ute vumbi na kutibu majeraha yake na ya wafuasi wake.

Hana jipya kwa sasa.
 
Ridhiwan, Mama salma na Makamba ndo waliyemjengea uhasama Jk_mm nilimshabkia sana uchaguz wa 2000 na kudhan kwel ni chaguo la mungu kumbe bwana_ni chaguo la mafisadi na kazi yake ilikuwa kuja kusimamia mfumo na kuwaacha majority tznian wakiwa hoi_sasa anajenga hotel serengeti, ridhiwan vitega uchumi pale makumbusho, tamco kibaha na mengne meng
 
I dont know but I think mybe Mr Kikwete is a good man/president but he cannot make any good decision on himself,lazima awe influenced na wafuasi wake ambao mara nyingi wanafanya maamuzi kujinufaisha wao na familia zao, kikubwa ni kupigania katika katiba ijayo President's jurisdiction zipungue na ikiwezaka atoe sababu za kuwapa watu uwaziri/ubunge, manake trend ya sasa hivi watu wanapewa ubunge/uwaziri kama zawadi au kipoozeo au uhusiano ubinafsina raisi tofauti na nchi nyingine watu wanapewa uwaziri kutokana na kumudu uongozi na wizara husika, NAOMBA Kikwete aliangaliE hili manakE ameona matunda ya kuwapa uwaziri marafiki zake kama Lowassa na Masha, Sofia Simba nk, wamemuharibia kazi coz of utendaji mmbaya kwa kuendekeza Rushwa, ufisadi na undugunization kwenye kupeana vyeo na tenda mbali mbali,sisi watoto wa maskini ndo tushasahaulika kwenye system, hupewi cheo/ kazi ya maana hata kama uwezo unao. Jamani mbona napoteza imani ya serikali ya TZ kila kukicha??
 
Back
Top Bottom