MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
Kuna tetesi kuwa Mh. Makamba amekuwa anampigia kampeni mwanae (January) za chinichini katika jimbo linaloshikiliwa na Mh. Shelukindo (Bumbuli).
Japo Shelukindo bado ana nia ya kuendelea kubakia na pia kukubalika katika jimbo lake lakini Makamba ameshaenda kuwaona wazee na kuwaomba wamsaidie kijana wake ...anayesubiriwa sasa ni kijana aende kujitambulisha jimboni. ...japo Makamba mwenyewe hakubaliki sana kwani alishawahi kugombea na kutoswa mara kadhaa lakini anaona kijana wake ana nafasi..
Mkisikia wabunge wanalalamikia faulo wanazofanyiwa majimboni ndio kama hizi ...lakini mbona mapema?